carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Abee pimbi wangu
Abee pimbi wangu
Na wanao kula mkaa au chalkWale wamama wajawazito wanaokula udongo ndio wanaotuzalia mafundi ujenzi na wafyatua tofari.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji134][emoji134][emoji134]jamaniMarahaba Kazaramo ketu. Punguza ukatili kwa Kapoti tusije tukakapoteza. Yesterday was brutal [emoji16][emoji16][emoji16]
I michi yu pimbi wanguPimbi wangu nakuona katika ubora wako
Huku ni kutafuta kujivunja uti wa mgongo
Andaeitini,hawayu
Hivi umepata mchepuko nini mbona unanikwepa kwepa hivyo toka nimerudiAbee pimbi wangu
Nimeanza kuwa na wasiwasi naona kama nimeibiwa hiviI michi yu pimbi wangu
Wataalamu wetu wa afya wanadai mtu huyu anakuwa na upungufu wa madini ya chuma ama anakuwa na safura, kinachompelekea yeye kula vitu hivyo.
Lkn mbona wengi wao wakishajifungua hawatumii tena vitu hvyoWataalamu wetu wa afya wanadai mtu huyu anakuwa na upungufu wa madini ya chuma ama anakuwa na safura, kinachompelekea yeye kula vitu hivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa jamaa ndio maana huwa wakimkamata mtu uraiani amevaa gwanda zao basi lazma kieleweki kama ni kweli wanapitia mazoezi haya
Aiseee!!! Kila mbabe na mbabe wake hapa duniani. Huyo ndio mdudu pekee anae weza kuvunja ndoa yangu. Yaani wife aseme tu "usipo muua narudi kwetu usukumani"... Hakika ntalia sana kwa kuachana na mke wangu...