Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani ni kama wewe tu kwa "power Mende" anavyo kutesa ndani ya nyumba yako
 
BAADHI YA MAJINA YA WANAWAKE YANAFANANA NA TABIA ZAO...

Utafiti unaonesha kuwa, asilimia kubwa ya wanawake wenye majina yafuatayo hapa chini wengi wao tabia zao ziko hivyo hivyo.....

Aisha
wao hawachaguagi kazi na ni wabunufu sana na wengi wao wana mabwana zaidi ya mmoja!

Mariam
kimtazamo ni wapole sana wastaarabu na wengi wao washika dini sana lakini mambo Yao ya sirini yakifunuliwa unaweza usiamini!

Fatuma
wanapenda sana commands, wana hasira za karibu, na wana wivu uliopitiliza ktk mapenzi!

Glory
wanapenda sana pesa, hawapendagi kukosolewa, lakini wapogo active sana ktk mambo ya ibada!

Jackline
wanapenda sana umaridadi, hata kama wanalala njaa kimtazamo huta wajua wala kumzania kabisa, na hupenda wanaume wenye pesa pia hawapendi maisha ya ndoa!

Mary
hulelewa kwenye maadili mema lakini ngoja waanze kujitegemea, wanabadili tabia zao!

Elizabeth
wao wakipenda hawajivungi; huwatambulisha wapenzi wao popote inapowabidia!

Salma
huridhika na hali zao; yaani mioyo Yao hupendezwa tu na chochote kiwe kidogo au kikubwa ilimradi ni chake binafsi!

Mwajuma
wengi wao wana maruwani; na ni wanapenda kutoa ushauri kwa wenzao popote inapowabidi!

Sophia
muda mwingi wapo bize na mambo yasiyo wahusu; wengi wao hufanya kazi saloon, wabishi sana, hawanaga mapenzi ya kudumu, hujiita wazuri/warembo wakati hawana uzuri wowote huamini dini yao ni bora kuliko ya mwingine na hu-pretend kama vile wacha MUNGU sana lakini matendo Yao yanakataa!

Rachel
waongo kupitiliza; wanapenda kuanika mambo Yao hata kabla hawajaulizwa, hujiona wapo sahihi kwa kila jambo, hujiona wao ndio wao na wengi wao hawapendagi kuonekana wakubwa yaani ukimuuliza umri wake lazima ashushe miaka kadhaa nyuma!

Khadija
wanapenda sana kusutana; jambo dogo tu huwapelekea bifu kubwa inayopelekea kuchambanaaaa!

Lucy
wana bahati lakini maringo Yao huwaponza kupoteza bahati zao!

Happy
hutoka ktk family za kimaskini sana; huchangamkia kila fulsa sababu inayopelekea kufanikiwa kimaisha na kubadili historia za maisha yao, ila wana nidhamu za woga na kiburi kupindukia!

Emmy
wepesi Sana kusikiliza maneno ya watu; hawanaga msimamo ktk mambo Yao!

Maurini
wao kila kitu hufanya kwa kujaribu jaribu tu, hupenda kuiga mambo yasiyo na faida kwao!

Ester
wengi wao hulelewa na watu baki; ni wapole, wacha MUNGU na huamini kufanya tendo la ndoa kabla au nje ya ndoa ni dhambi lakini hawaachi kufanya na wengine hadi kuzaa kabla ya ndoa!

Neema
huitwa neema wakiwa wadogo wakifikia rika fulani wanabadili majina Yao sometimes hata dini nk;

Amina
hubeba mimba ktk umri mdogo; hawamalizi shule, uwa hawatulii na Mwanaume mmoja , uwa waanaolewa na mme wa mtu, Wanapenda wanaume za watu wenye pesa zao

Agnes
huzaa kila mtoto na baba yake!

Halima
wanapenda mazuri yote yawe Yao na mabaya yawakute wenzao tu, ukifanikiwa wanajenga bifu ila wana mapenzi ya dhati kwa wenzi wao!

Magreth
wao wakipenda hawaangaliagi hali ya maisha uliyonayo, wanaishi popote ilimradi yupo na yule aliyempenda ni wachapa kazi lakini hawanaga maendeleo mazuri!

Rose
waoga sana, ni wasiri ktk mambo Yao, wengi wao wameshafanya sana kazi za ndani/house girls! uwa hawatulii na Mwanaume mmoja mpaka atakapo olewa

upendo
hawapendi pesa uwa Wanapenda Mwanaume anayemjali, Wanapenda kuwanunulia Zawadi waume zao.

Salome
mapepe sana! Wanatabia ya kubambikia mimba Wana maringo na hawapo makini Mara nyingi sana huwa wanaamini ktk Zari la mentari na si malengo au mipango!

Beatrice
wana skendo mbaya sana, wana tabia ya udokozi wa ela, hata siku moja hawasifiwi kwa mema kabisa, huchafuliwa sifa zao kwa maneno ya watu, lakini uzuri wake huwa hawajali maneno yanayosemwa juu yao, huishi watakavyo wao na si vinginevyo!

Ferister
husifika kwa kutoka na mabwana wa watu!

Leah
Wanajihamini Sana, uwa hawategemei Mwanaume katika maamuzi yao ya kimaendeleo, uwa wanachelewa kupata watoto, Uzaa katika Umri mkubwa Mtoto mmoja au wawili tu.

Jenipha
wanapenda sana maisha ya shule, Muda mwingi upenda kusoma mpaka elimu ya juu, wana tabia mzuri pia upendwa na watu kutokana na utendaji wao wa kazi, wana bahati ya kupata kazi

Eva
husifika kwa uzuri wa sura lakini ni mapepe sana huzalia nyumbani tena ktk umri mdogo!

Hellen
Wanapenda kuongoza wenzao ,,viongozi ktk vikoba na sehemu mbalimbali , wana mwili mkubwa wengi wao ni wacheshi pia wana penda harakati za kisiasa, hawana mafanikio mkubwa ila wengi wao wana Diploma na Degree

Aneth
kupendwa na wanaume wengi, kutokana na ucheshi wao kwa kila mtu!

Christina
Hupendwa zaidi na Baba zao; ukimchezea huyu baba yake atakufa na wewe!

Janeth
wanapenda kudeka, wanapenda kucheza miziki ya dini!

Angel
money spenders, pesa mbele.. Wazuri wa sura na maumbo, hawapendi kazi ngumu! Wavivu hawapendi kazi inayotumia muda mrefu

Vaileth
wanapenda sana starehe za bure! Wanaenda sana zawadi zawadi

Rihanna
wanapenda mno mambo ya night clubs! Hupendelea kuvaa nguo fupi, hawapendi kuolewa..

Johari
wavivu sana mambo mengi wana fanya kwa kusukumwa sukumwa tu si kwa hiyari yao!

Telesia
hawana malengo ktk maisha, wao ilimradi siku zinaenda!

Isabella
walevi sana! lakini wana busara na huwa ni washauri wazuri sana pia wanahuruma sana

Flora-
wanapenda umaarufu/kujulikana na watu! Wana matumizi mabaya ya fedha, hawana wivu wa maendeleo wenyewe mradi anakula na kulala pia wanapenda sana lawama hata mahala pasipotakiwa kulaumu

Monica
ni wacha MUNGU sana, wana mapenzi ya kweli, wana kisirani cha haraka, wana maamuzi ya haraka, hawajuagi kunyenyekea hata penye maslai!

Veronica:
Hawa wanapenda sana pesa pia wanapenda sana sifa hata kama amefanya vitu vya hovyo yeye anataka asifiwe pia wanapenda kulazimisha vitu ambavyo haviwezekani na wanapenda sana lawama yaani akiona jambo halijamlizisha atalisema kilakona.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
STAA wa Kibrazili, Willian amewataja wachezaji wawili ambao wamekuwa wakikiwasha kwelikweli huko mazoezini Chelsea na kama unamfikiria Eden Hazard, basi hayupo kabisa kwenye orodha.

Willian, ambaye hivi karibuni alidaiwa kuwa na mpango wa kuachana na Chelsea, alisema wachezaji ambao wanavutia kuwaona kwenye mazoezi ya timu hiyo kwa sasa wote ni wapya, viungo Mateo Kovacic na mwenzake Jorginho.
 
Chelsea chini ya kocha wake mpya, Maurizio Sarri wameanza vizuri msimu wa Ligi Kuu England baada ya kushinda mechi mbili za kwanza na hivyo kukusanya pointi sita zinazoifanya kushika nafasi za juu kwenye msimamo wa ligi hiyo.

Sarri amewanasa wachezaji hao wawili, Jorginho kutoka Napoli na Kovacic kutoka Real Madrid kwa mkopo, ambao una kipengele cha kumsajili jumla kama itafurahishwa na kiwango chake mwishoni mwa msimu.
 
Pia Mariamu huwa wana besi sana,,sauti nzto kama wanaume

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chelsea inafanya mazoezi yake huko Cobham na kwa mujibu wa Willian ni kwamba utakapokwenda kuwaona The Blues kwenye mazoezi yao, basi wakali hao hakika ndiyo wanaovutia zaidi kuwatazama.

“Kila mtu anafanya vizuri mazoezini, lakini hawa Jorginho na Mateo Kovacic wamekuwa hatari kwelikweli,” alisema Willian.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…