Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sasa mazungumzo yenu hayaishi hapo nje, lazima uingie ndani ya gari. Sasa hapa kuna changamoto kidogo. Kama unaingia ndani ya gari ambalo kiti unajichagulia mwenyewe utakuwa umefaulu kumnasa. Kama tayari mumepewa tiketi ambayo kila mtu ameandikiwa kiti chake itakuwa vigumu kuendelea na appraoch kwa huyu mwanamke kama kiti chako ni nambari 12 na yeye ni 35.
 
Turudi kwa kujichagulia kiti mwenyewe; Wakati mnapoingia kwa basi, unamwambia maneno kama, "Mi hupenda kuketi katika viti ya katikati, ingekuwa bora tukae katika viti vya nambari 23 na 24." Ukimwambia maneno kama haya hawezi kupinga. Mwanzo ushajitokeza kama mwanaume alpha, jambo ambalo wanawake wanapenda.
 
Ama unaweza kutumia mbinu nyingine nzuri ya kumwonyesha sehemu ya kuketi kwa kutumia ishara. Mfano wakati mnaingia ndani ya basi, elekeza sehemu unayotaka akae, mwambie, "kaa hapa sehemu ya dirisha." Akishaketi sasa wewe unafuatilia. Hii ni mbinu nyingine rahisi ya kufuatilia.
 
Hali #3 Umekaa nyuma ya gari, ghafla mwanamke mrembo akaingia na kukaa viti vya mbele pekeake. Hatua kama hii unapaswa kuwa mjanja. Jambo la kufanya ni kuhakikisha kuwa mwanamke aina hii hakukuona. Hakikisha hajaona sura yako. Akishaenda kukaa kwa kiti sasa unaweza kubeba ujasiri wako na kuaproach sehemu alipo. Hapa lazima ufahamu mambo mawili. Kwanza ni kuwa ukienda kukaa sehemu yake lazima atajua kuwa ulikuwa ndani ya gari so lazima uwe na sababu za kwa nini umeenda kukaa na yeye. Pili ni kuwa usipojieleza ukaeleweka unaweza kumfanya mwanamke kama huyu kuziamsha kinga zake hivyo ukakosa kila kitu. So hivi ndivyo unavyopaswa kusema wakati umekaa na yeye, "Kule nyuma kuna joto na unarushwarushwa kila wakati, nimekuja hapa mbele angalau nafeel kibaridi na hewa safi." ama "Nimekuona ukiingia kwa hili gari nikaona si vizuri kumwacha mwanamke nadhifu kama wewe ukae pekeako, waendeleaje lakini?"
 
Mazungumzo ukiwa katika gari la abiria ni rahisi sana. Mwanzo unazungumzia kuhusu gari lenyewe na kampuni inayomiliki, unazungumza kila kitu kuanza mwenendo hadi mwishio, unaongea kuhusu sehemu unayoenda na uliyotoka, vitu mnavyokumbana navyo barabarani nk, yaani mazungumzo hayana mwisho.
 
NB Wakati mnapowasiliana, hakikisha mazungumzo yenu hayavunjiki. Kuna abiria wengine huongea dakika mbili tu halafu kule kwingine wanaua mazungumzo, haupaswi kufanya hivyo. Hakikisha pia katikati ya mazungumzo yenu unachukua namba yake ya simu. Halafu wale wanaopenda kufanya vituko wakiwa safarini unaweza kutumia ile mbinu yetu ya kuwasisimua wanawake.
 
NB Wakati mnapowasiliana, hakikisha mazungumzo yenu hayavunjiki. Kuna abiria wengine huongea dakika mbili tu halafu kule kwingine wanaua mazungumzo, haupaswi kufanya hivyo. Hakikisha pia katikati ya mazungumzo yenu unachukua namba yake ya simu. Halafu wale wanaopenda kufanya vituko wakiwa safarini unaweza kutumia ile mbinu yetu ya kuwasisimua wanawake.
 
POVU la kazi gani sasa? Wala usibishe, sio sisi, huu ni utabiri wa mshambuliaji wa zamani wa England, Michael Owen, kuwa Manchester United itapigwa kwenye mechi yake ya Ligi Kuu England itakayocheza na Tottenham Hotspur keshokutwa Jumatatu.

Staa huyo aliyewahi kuzichezea klabu za Liverpool, Newcastle United, Man United yenyewe na Stoke City kwenye Ligi Kuu England amefika mbali na kutaja kabisa matokeo kwenye mechi hiyo, eti chama la Jose Mourinho litakumbana na kipigo cha mabao 2-1 kutoka kwa vijana wa Mauricio Pochettino, wanaoongozwa na straika matata kabisa, mwenye Kiatu cha Dhahabu cha Kombe la Dunia, Harry Kane.
 
Lakini, kiungo wa Kibrazili, Fred amewaambia mastaa wenzake huko Man United kama wanataka ubingwa wa msimu huu, basi ni lazima waichape Spurs.

Je, utabiri huo wa Owen utakamilika? Hadi sasa msimu huu, Man United imecheza mechi mbili, imeshinda moja na kufungwa moja.

Kocha Mourinho haeleweki atatokaje kwenye mechi hiyo huku akipata nguvu zaidi baada ya wachezaji wake waliokuwa majeruhi, kiungo Nemanja Matic na Antonio Valencia kutarajiwa kurudi uwanjani.
 
Kuna uwezekano pia wa Alexis Sanchez kucheza mechi hiyo baada ya kukosa ile ya kipigo kutoka kwa Brighton, lakini swali lililopo ni kama Mourinho ataendelea kumfanya Paul Pogba kuwa nahodha wake kwenye mechi ya tatu mfululizo kufuatia kiwango cha hovyo alichokionyesha kwenye mechi iliyopita.

Owen pia amemtabiria ushindi wa kwanza kwenye ligi hiyo, kocha mpya wa Arsenal, Unai Emery, ambapo kikosi chake kitakuwa Emirates kuikaribisha West Ham United.
 
Kwenye mechi hiyo, Owen alisema kikosi cha Emery kitaibuka na ushindi wa mabao 2-1 na hivyo Arsenal itaonja ushindi wake wa kwanza kwenye ligi msimu baada ya kupokea vichapo kwenye mechi zote mbili za kwanza ilipochapwa na Manchester City 2-0 na Chelsea 3-2.

Straika huyo wa zamani mwenye rekodi zake kadhaa kwenye Ligi Kuu England alisema Man City itaendelea kugawa dozi akitabiri itashinda 3-1 ugenini kwa Wolves. Owen alisema kwa namna ambavyo kikosi hicho cha Pep Guardiola kilichoshiba wachezaji wa maana haoni kama kitaweza kuteleza na kushindwa kupata ushindi huo akisema idadi ndogo ya mabao itakayoifunga Wolves itaanzia matatu.
 
Liverpool pia imepewa ushindi mbele ya Brighton, kuwa itaichapa wababe hao wa Man United si chini ya mabao 3-0 akisisitiza k kikosi cha Kocha Jurgen Klopp kipo kwenye hali nzuri kwenye ligi ya msimu huu na ndicho kitakachosumbuana na Manchester City kwenye mbio za ubingwa.

Kocha Maurizio Sarri, ambaye ameanza kwa ushindi kwenye mechi zake mbili alizocheza kwenye Ligi Kuu England hadi sasa tangu atue Chelsea, amepewa ushindi mwingine wa tatu baada ya Owen kutabiri The Blues itakwenda kuichapa Newcastle United inayonolewa na Rafa Benitez huko huko kwao kwa jumla ya mabao 2-0.
 
Utabiri huo wa Owen umekuwa gumzo na watu wanachosubiri ni kuona kama timu alizozitabiria ushindi zitaibuka kweli kibabe, huko macho ya wengi yatakuwa huko Old Trafford kama kweli Manchester United itakuwa tayari kupoteza mechi ya pili mfululizo kwenye ligi na safari hii ikiwa kwenye uwanja wake wa nyumbani, Old Trafford.

Owen ametabiri sare ya bao 1-1 kwa mechi tatu, ile ya Bournemouth dhidi ya Everton, Watford na Crystal Palace na Fulham na Burnley.
 
Huddersfield imepewa ushindi kuwa itaichapa Cardiff City 1-0 katika mechi yake na hivyo huo ndio utabiri kamili wa mshambuliaji huyo wa zamani wa England kuhusu mechi za Ligi Kuu England kwa wikiendi hii.
 
WIKI moja tu imebaki kabla ya dirisha la usajili kufungwa na mashabiki wa Real Madrid hawaelewi kutokana na timu yao kutoonekana kufanya juhudi zozote za makusudi katika kutafuta straika wa kurithi mikoba ya Cristiano Ronaldo.

Wanachokiona ni hata mshambuliaji wao kinda Vinicius Junior kwa msimu huu atacheza kwenye timu ya vijana, Castilla labda kama Kocha Julen Lopetegui ataamua kumwita kuichezea timu ya wakubwa.
 
Huddersfield imepewa ushindi kuwa itaichapa Cardiff City 1-0 katika mechi yake na hivyo huo ndio utabiri kamili wa mshambuliaji huyo wa zamani wa England kuhusu mechi za Ligi Kuu England kwa wikiendi hii.
 
Back
Top Bottom