Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

sapeur_congo-14-.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtafanya watu wawe wanashinda wanazunguka na mabasi sasa. Kwema lakini Kaisiki? Nasikia pia umeanza kuitwa Ester/ Esther hata sielewi ni kwa nini. Ni kwa sababu ya ushujaa kama ule wa Esther wa kwenye Biblia aliyeiokoa familia ya Modekai na Wayahudi wenzake wote au kuna sababu nyingine?
Hahahahha bro bana yaani umenitungia jina kaisiki duh

Esta sababu mtulivu hapigwi

mifenesi ovyo,binti mpoleeee

Kwema kabisa,za ulipo?
 
Mtafanya watu wawe wanashinda wanazunguka na mabasi sasa. Kwema lakini Kaisiki? Nasikia pia umeanza kuitwa Ester/ Esther hata sielewi ni kwa nini. Ni kwa sababu ya ushujaa kama ule wa Esther wa kwenye Biblia aliyeiokoa familia ya Modekai na Wayahudi wenzake wote au kuna sababu nyingine?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], itakuwa ni mwendo wa go and return [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom