Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Unaweza kujiuliza, hivi inawezekana uhusiano au ndoa ikadumu pasipo wanandoa kuwa na ukaribu wa kihisia au mvuto wa kihisia baina yao?
Jibu ni kwamba wawili hawa wanaweza kuwa pamoja lakini ladha ya uhusiano wao lazima itapooza na hata kufa kama hakuna ukaribu au mvuto wa kihisia baina yao.
Mara nyingine kukosekana kwa ukaribu au mvuto huu kunaweka ufa mkubwa baina ya wawili hawa na kuongeza nafasi za wao kutengana hususani dhoruba na mawimbi yanapovuma na kuyatingisha uhusiano au ndoa yao.