Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

INGEKUWA uswahilini tungesema bakora zimekaribia Old Trafford. Lakini kwa Wazungu pale Manchester United mashabiki wamechukua njia nyingine ya kuonyesha kukerwa na utawala wa sasa wa Bosi Mtendaji, Ed Woodward.

Imebainika mashabiki wa United wameandaa ndege maalumu itakayobeba ujumbe wa kutomtaka bosi huyo katika pambano dhidi ya Burnley Septemba 2 utakaoandikwa ‘Ed Out’-LUHG’ (Love United, Hate Glazers).
 

Attachments

  • MAGAZETI-5-4~2.jpg
    MAGAZETI-5-4~2.jpg
    155.2 KB · Views: 27
Ripoti nyingine za ndani zinadai mabosi wa United bado wanamsapoti kocha huyo wa zamani wa Chelsea lakini wana wasiwasi kuondoka kwa msaidizi wake wa muda mrefu, Rui Faria kunaweza kusababisha kocha huyo afeli klabuni hapo.

“Rui alikuwa ni mtu pekee ambaye alikuwa na uwezo wa kumdindishia Jose katika siku za nyuma na kumpa maneno ya maana yakamuingia. Walikuwa ni marafiki bora na usingewatenganisha. Hata hali ilivyo sasa ingeweza kuleta mzozo baina yao lakini Jose alimheshimu kuliko mtu mwingine yeyote,” alisema mtoa taarifa mmoja wa ndani.

MAGAZETI-3-4.jpg
 
Naanza Kuamini Kwamba Wanawake Wengi Hawapendi Wanaume Wastaarabu. Wanawapenda Wale Wanaume Wanaowasumbua Sana Yaani Yule Mlevi, Muhuni, Muongo, Mvuta Masigra Yaani yule Msumbufu Sumbufu. Wanawake Wengi Wako So Allergic Na Good Men . Ukiwa Good Men Tu! Wanasumbua Sana.
Who is a good man? What do women want? Tuanzie hapo kwanza.....

Kwema lakini?
 
Utaalamu wa kufanya ngono ni kujua kujizuia, utundu/ujuzi wa kutumia uume wako pale unapokuwa ndani.....unaruhusiwa kubadili "mirindimo" lakini kwa kujali na kwa upendo unless uambiwe tofauti na huyo umfanye kutokana na utamu/raha anayoipata.
 
Back
Top Bottom