Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
2.Tom Brady na Gisele Bundchen– Dola 544 milioni
Brady amepewa heshima yake kwa kupewa uchezaji bora kwenye mashindano ya Super Bowl. Ikiwa ni mafanikio makubwa zaidi kuwahi kufikiwa na mchezaji mmoja, kunasa tuzo ya uchezaji bora mara tatu katika michuano hiyo, akifanya hivyo mwaka 2007, 2010 na 2017.
Brady mpenzi wake ni kimwana wa Kibrazili, Gisele Bündchen, ambao kwa pamoja wakichanganya pesa zao walizonazo ni Dola 544 milioni.