Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kipa Thibaut Courtois anakuwa mchezaji mwingine alihama Ligi Kuu England na kujiunga na Real Madrid msimu kwa gharama ya pauni 35milioni.

Kipa huyo Mbelgiji amekamilisha uhamisho wake wa kuhamia Santiago Bernabeu anakuwa mchezaji wa 23 kutoka England na kujiunga na Madrid.

Madrid imekuwa na historia ndefu ya kuwasajili wachezaji kutoka klabu za England na mara mbili wamevunja rekodi ya uhamisho kwa kuwasajili nyota kutoka klabu za Manchester United na Portsmouth.
 
Kuanzia kwa Cristiano Ronaldo hadi kwa Thomas Gravesen vinaangaliwa viwango vya wachezaji 22 waliocheza Real Madrid na pointi zao walizopata chini ya kumi (10).

1. Steve McManaman 9/10

Liverpool, huru - 1999

2. Nicolas Anelka 6/10

Arsenal, £23m - 1999

3. David Beckham 7/10

Manchester United, £23m - 2003

4. Jonathan Woodgate 6/10

Newcastle, £13m - 2004

5. Michael Owen 7/10

Liverpool, £8m - 2004

6. Thomas Gravesen 7/10

Everton, £3m - 2005

7. Jose Antonio Reyes 7/10

Arsenal, mkopo wa muda mrefu - 2006

8. Ruud van Nistelrooy 8/10

Manchester United, £14 - 2006

9. Jerzy Dudek 6/10

Liverpool, huru - 2007

10. Gabriel Heinze 6/10
 
Manchester United, £8m - 2007

11. Arjen Robben 7/10

Chelsea, £25m - 2007

12. Julien Faubert 4/10

West Ham, mkopo wa miezi sita - 2009

13. Cristiano Ronaldo 10/10

Manchester United, £80m - 2009

14. Alvaro Arbeloa 7/10

Liverpool, £5m - 2009

15. Lassana Diarra 7/10

Portsmouth, £19m - 2009

16. Xabi Alonso 9/10

Liverpool, £30m - 2009

17. Ricardo Carvalho 7/10

Chelsea, £7m - 2010

18. Emmanuel Adebayor 6/10
 
Manchester City, mkopo miezi sita - 2011

19. Michael Essien 6/10

Chelsea, mkopo wa muda mrefu - 2012

20. Luka Modric 9/10

Tottenham, £30m - 2012

21. Gareth Bale 9/10

Tottenham, £86m - 2013

22. Javier Hernandez 6/10

Manchester United, mkopo wa muda mrefu - 2014
 
KWANI umejipangaje? Ndiyo wanavyosema huko mitaani linapokuja suala la vijana wawili wanapofikiria kuchukua uamuzi wa kuanzisha familia.

Jambo kubwa lipo kwenye kipato cha wawili hao, kwamba kitakidhi kwenda kuishi maisha bora au watakwenda kuishi bora maisha, yaani kikubwa uhai!

Hawa hapa bana watu waliamua kuwa pamoja kushirikiana kwenye mapenzi huku wakiwa njema zaidi kwenye mapato yao na kufanya kuwa kapo zenye pesa ndefu zaidi zinazowahusu wanamichezo na wasanii.
 
Aiseee!!! Kila mbabe na mbabe wake hapa duniani. Huyo ndio mdudu pekee anae weza kuvunja ndoa yangu. Yaani wife aseme tu "usipo muua narudi kwetu usukumani"... Hakika ntalia sana kwa kuachana na mke wangu...

Mkuu una nini na haka kadudu
FB_IMG_1535109166920.jpg
 
5.Dwyane Wade na Gabrielle Union – Dola 107 milioni

Staa wa mpira wa kikapu huko Marekani, Dwyane Wade na mrembo matata anayetikisa kwenye filamu za Kimarekani, Gabrielle Union wamekuwa kwenye mapenzi moto, wakichumbiana Desemba 2013 na kuja kuoana Agosti 30, 2014 huko Miami, Marekani.

Wawili hao wote ni watu wa kufanya dili zinazowaingia pesa na ndio maana kipato chao cha pamoja kimetajwa kuwa ni Dola 107 milioni.
 
4.Neymar na Bruna Marquezine – Dola 150 milioni

Staa wa Paris Saint-Germain, Mbrazili, Neymar yupo kwenye penzi la mrembo Bruna Marquezine, mwigizaji, mwanamitindo mwenye umaarufu mkubwa huko Brazil. Wawili hao wote wanapiga pesa kutokana na kuwa na dili mbalimbali na ndio maana kipato chao kikiwekwa pamoja kinadaiwa kuwa ni Dola 150 milioni.
 
3.Gerard Pique na Shakira – Dola 260 milioni

Tangu mwanzoni mwa mwaka 2011, beki wa kati wa Barcelona, Gerard Pique amekuwa kwenye uhusiano na mwimbaji matata wa Colombia, mrembo Shakira. Hapo ikawa makutano ya watu wawili wenye pesa ndefu na waliomaarufu.

Kwa pamoja wawili hao ambao wamekuwa na familia baada ya kufanikiwa kupata watoto wameripotiwa kuwa na kipato cha Dola 260 milioni.
 
Back
Top Bottom