Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mshambuliaji Wayne Rooney amemwambia Paul Pogba kwamba suala la kuboresha kiwango chake ni lake binafsi sio la kocha Jose Mourinho.

Rooney amemwambia Pogba anapaswa kucheza kwa kiwango kikubwa anapoitumikia timu yake ya Manchester United kwani mafanikio yoyote yatakayopatikana kutokana na ubora wa uchezaji wake ndani ya uwanja, sifa zote zitaelekezwa kwake.

Kiungo huyo Mfaransa, Pogba alichaguliwa kuwa nahodha kwenye mechi zote mbili za kwanza ilizocheza kwenye ligi, lakini wikiendi iliyopita alicheza kwa kiwango cha hovyo sana wakati Man United ilipokumbana na kipigo cha kushtua kutoka kwa Brighton.

Kwenye fainali za Kombe la Dunia 2018, Pogba alipewa sifa kubwa sana kutokana na kiwango chake cha soka ambacho kiliisaidia Ufaransa kunyakua ubingwa wa michuano hiyo. Lakini, huko Man United, kocha Mourinho amekuwa akishutumiwa kwamba hawezi kumtumia Pogba kwenye ubora wake, lakini Rooney anaamini kwamba hilo ni suala la mchezaji mwenyewe.
 
Ni mchezaji mahiri, lakini anapaswa kulifanya hilo kwa ajili yake mwenyewe," alisema Rooney.

"Kama unafanikiwa kubeba ubingwa, basi sifa zinakuja kwako kama mchezaji muhimu uliyesaidia hilo na hutosikia tena kinachosemwa kwamba kocha ameshindwa kupata namna nzuri ya kukutumia kwenye ubora wako."

Man United kesho Jumatatu itakipiga na Tottenham kwenye mchezo wa Ligi Kuu England huko uwanjani Old Trafford na haifahamiki kama Pogba ataendelea kuwa nahodha baada ya kurejea kwa mastaa Alexis Sanchez, Nemanja Matic na Antonio Valencia kikosini.
 
Bao la Mohamed Salah limetosha kuipa Liverpool pointi tatu muhimu wakichapa Brighton & Hove Albion 1-0 kwenye Uwanja wa Anfield.

Ushindi huo unaifanya Liverpool kushinda mechi zake tatu za mwanzo wa Ligi Kuu England na kuongoza msimamo wa ligi hiyo kwa pointi 9.

Mo Salah mfungaji bora wa msimu uliopita alifunga bao lake katika dakika 23, kipindi cha kwanza akimalizia vizuri pasi ya Roberto Firmino.
 
Awali Arsenal imepata ushindi wake wa kwanza msimu huu baada ya kuichapa West Ham kwa mabao 3-1, huku Everton ikilazimishwa sare 2-2 AFC Bournemouth katika mechi iliyoshudia kadi nyekundu mbili.

Katika mchezo huo mabao ya Arsenal yalifungwa na Nacho Monreal, bao la kujifunga Issa Diop pamoja na Danny Welbeck wakati lile la kufutia machozi kwa West Ham lilifungwa na Arnautovic

Ushindi huo wa kwanza kwa kocha Unai Emery tangu alipochukua jukumu la kuinoa Arsenal, wakati West Ham ikipata kipigo cha tatu mfululizo.
 
Mabingwa watetezi Manchester City ililazimisha sare bao 1-1 na Wolverhampton Wanderers kwenye Uwanja wa Molineux.

Bao la kichwa la Aymeric Laporte katika dakika 69, akiunganisha krosi ya Ilkay Gundogan na kusawazisha bao la mapema la Wolves lililofungwa na Willy Boly katika dakika 57.

Everton ilishindwa kulinda ushindi wake wa mabao 2-0 baada ya kukubalia Bournemouth wasawazishe katika mchezo ulioshudia timu zote zikimaliza zikiwa na wachezaji 10 kutokana na kadi nyekundu.
 
Nyota wa Everton, Richarlison alitolewa nje kwa kadi nyekundu dakika 41, kabla ya kuongoza kwa mabao 2-0 yaliyofungwa na Theo Walcott na Michael Keane.

Bournemouth ambao Adam Smith alitolewa nje wakiwa nyuma kwa bao 1-0, lakini walifanikiwa kusawazisha kwa mabao ya Joshua King aliyefunga kwa penalty na Nathan Ake.

Southampton ilikuwa ya kwanza kupata bao la kuongoza dhidi ya Leicester City kupitia Ryan Bertrand, lakini Demarai Gray alisawazisha kwa wageni kabla ya Pierre-Emile Hojbjerg kutolewa nje kwa kadi ya pili ya njano.
 
Katika dakika ya 91, Harry Maguire aliifungia Leicester City bao la ushindi 2-1.

Katika mchezo mwingine Huddersfield ilipata pigo baada ya mchezaji wake Jonathan Hogg kupewa kadi nyekundu ya moja kwa moja wakati timu yake ikilazimishwa suluhu na Cardiff.

Matokeo

Wolverhampton Wanderers 1 - 1 Manchester City

AFC Bournemouth 2 - 2 Everton

Arsenal 3 - 1 West Ham United

Huddersfield Town 0 - 0 Cardiff City

Southampton 1 - 2 Leicester City
 
Mshambuliaji Cristiano Ronaldo bado anaendelea kusubili kufunga bao la kwanza katika Serie A wakati Juventus ikichapa Lazio 2-0 kwenye Uwanja wa Allianz, Turin.

Ronaldo amecheza mechi yake ya pili akiwa na Juventus, bado hajafanikiwa kuzifumania nyavu pamoja na kutegeneza nafasi kadhaa za kufunga.

Katika mchezo huo mabao ya Juventus yalifungwa na Miralem Pjanic katika dakika 30, kabla ya Mario Mandzukic kupachika la pili dakika 75.
 
Wakati Ronaldo akiendelea na ukame wa mabao jijini Paris washambuliaji Edinson Cavani, Neymar na Kylian Mbappe wameendelea kugawa dozi baada ya kuiongoza Paris Saint Germain kuichapa Angers kwa mabao 3 – 1 leo Jumamosi.

Katika mchezo huo PSG ilikuwa ya kwanza kupata bao la kuongoza dakika 12, kupitia Cavani, lakini Angers ilisawazisha dakika 22 bao lililofungwa na Thomas Mangani kufanya timu hizo kwenda mapumziko matokeo yakiwa 1-1.

Kipindi cha pili mabingwa watetezi PSG walirudi kwa kasi na kupata bao la pili dakika ya 51, lililofungwa na Kylian Mbappe kabla ya Neymar kupachika bao la tatu dakika 66.
 
Arsenal imepata ushindi wake wa kwanza msimu huu baada ya kuichapa West Ham kwa mabao 3-1, huku Everton ikilazimishwa sare 2-2 AFC Bournemouth katika mechi iliyoshudia kadi nyekundu mbili.

Katika mchezo huo mabao ya Arsenal yalifungwa na Nacho Monreal, bao la kujifunga Issa Diop pamoja na Danny Welbeck wakati lile la kufutia machozi kwa West Ham lilifungwa na Arnautovic

Huo ni ushindi wa kwanza kwa kocha Unai Emery tangu alipochukua jukumu la kuinoa Arsenal, wakati West Ham ikipata kipigo cha tatu mfululizo.
 
Everton ilishindwa kulinda ushindi wake wa mabao 2-0 baada ya kukubalia Bournemouth wasawazishe katika mchezo ulioshudia timu zote zikimaliza zikiwa na wachezaji 10 kutokana na kadi nyekundu.

Nyota wa Everton, Richarlison alitolewa nje kwa kadi nyekundu dakika 41, kabla ya kuongoza kwa mabao 2-0 yaliyofungwa na Theo Walcott na Michael Keane.
 
Bournemouth ambao Adam Smith alitolewa nje wakiwa nyuma kwa bao 1-0, lakini walifanikiwa kusawazisha kwa mabao ya Joshua King aliyefunga kwa penalty na Nathan Ake.

Southampton ilikuwa ya kwanza kupata bao la kuongoza dhidi ya Leicester City kupitia Ryan Bertrand, lakini Demarai Gray alisawazisha kwa wageni kabla ya Pierre-Emile Hojbjerg kutolewa nje kwa kadi ya pili ya njano.

Katika dakika ya 91, Harry Maguire aliifungia Leicester City bao la ushindi 2-1.
 
Katika mchezo mwingine Huddersfield ilipata pigo baada ya mchezaji wake Jonathan Hogg kupewa kadi nyekundu ya moja kwa moja wakati timu yake ikilazimishwa suluhu na Cardiff.

Matokeo

Wolverhampton Wanderers 1 - 1 Manchester City

AFC Bournemouth 2 - 2 Everton

Arsenal 3 - 1 West Ham United

Huddersfield Town 0 - 0 Cardiff City

Southampton 1 - 2 Leicester City
 
Numbisa balimi unazokunywa/ulizokunywa si za nchi hii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe unajua kimalkia kuja unifundishe basi[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],

Iyelele mama eeeeeeh
Kale kasuti kangu kazawadi alikonipa kaka wa Dar es Salaam,
ndiko katanipa mori hadi ukumbini kote watanifahamu,
Naomba uipige pasi mke wangu ila chunga usiunguze,
Nina kikao na wazungu mama ninatakiwa nipendeze,

Umesahau mke wangu mbona nikilewa naweza,
Tena kabla hujapiga pasi naomba niagizie pombe,
Nikilewa mapema itakuwa safi ili nikifika NIKIKOROGE[emoji23]

Kiingereza mama weeeeh!
Na nikilewa naweza
kiingereza,
Ni rahisi usijali mke wangu
Kiingereza
Acha nilewe nitakuonesha
Kiingereza
Usijali ni rahisi utaona ninavyoongea.
[emoji445][emoji445][emoji444][emoji444][emoji445][emoji445][emoji445][emoji444][emoji444][emoji444][emoji445][emoji445][emoji445]



Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], mwenzetu usijekuwa wapewa 10%[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…