mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Mkuu kwema habari ya jumapili[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Habari ya Jumapili mkuu?
Mungu ni mwema ndugu yangu, habari ya weekend?Salaam mkuu
Hahaha pamoja mkuunatengua kauli
Sikushindwa kulipa mahari alikuwa mzuri sana angenisumbua baadaye na sikuwa na noti kipindi hicho fresh from school
Muhimu kupunguza madhambiNjema aisee. Kunakucha. Tayari kwenda kutubu madhambi. TUMSHUKURU MUNGU [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Cc Numbisa
HahahahaAm surprised when a hen is chased by a cock for sex it runs 2 metres and gets tired & caught..but when I chase it for supper it can run the whole day[emoji23][emoji23][emoji23]
Amun RaKusudio la Mungu likapate kutimia juu yako[emoji120] [emoji120]
Mungu ni mwema ndugu yangu, habari ya weekend?
In AlmightyNENO LA LEO:
ISAYA 48:17
" BWANA, mkombozi wako, mtakatifu wa Israeli, asema hivi; Mimi ni BWANA, Mungu wako, nikufundishaye ili upate faida, nikuongozaye kwa njia ikupasayo kuifuata"
Katika kuishi kwetu twapitia changamoto nyingi sana,ila BWANA anasema kuwa anatupitisha "darasani" ili kutufundisha,kutuonya na kutuelekeza ili Tupate Faida maishani.
Tukiyafuata mafundisho yake hapana Hasara.
TUKAWE DARASA LA BWANA.
[emoji1488][emoji1488]
Kiongozi tumepoteana jumla?!!Mkuu kwema habari ya jumapili
Huku (ingawa mzee wa pwani lugha yako ina mkanganyiko) kwema kabisa[emoji23] [emoji23]Nashukuru mzee baba, habari za huko
Wanaendelea vizuri majukumu tu yanabana mkuu tunashukuru kuwa wazimaKiongozi tumepoteana jumla?!!
Mungu anasaidia ndugu, vijana wangu wanaendeleaje huko?
HahahaahaHuku (ingawa mzee wa pwani lugha yako ina mkanganyiko) kwema kabisa[emoji23] [emoji23]
So what weka likes hapaThe Way I'm here