Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] jamaniii...
Mungu aendelee kutulinda [emoji120] [emoji120]Wanaendelea vizuri majukumu tu yanabana mkuu tunashukuru kuwa wazima
Mwalimu alikuwa kalewa*Kama* Jana ingekua *Kesho* Leo ingekua ijumaa.
*Je mwalim aliongea haya maneno siku gani
Shemeji sema. Dada hajambo? [emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]
Huku (ingawa mzee wa pwani lugha yako ina mkanganyiko) kwema kabisa[emoji23] [emoji23]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] jamaniii...
Laiti vyama vya siasa vingekuwa vinavumiliana kama makabila haya mawili yanavyo vumilia dharau(utani) kutoka makabila mengine, hakika tungeishi kwa amani sana.
Juzi nilikutana na comment ya ndugu yangu capitalpool, niliielewa sana baada ya kuukuta uzi fulani ukijadili vilevile... View attachment 847398