Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

MWEKEZAJI

Mtu mwenye tabia hii ndio mwenye mafanikio makubwa,watu hawa ndio wanaoongoza dunia,ndio wanaomiliki mali nyingi na kumiliki viwanda vikubwa ambavyo ndio hutoa ajira nyingi.Watu wenye tabia hii hutamani kuwekeza kila pesa inayopita mikononi mwao,wako tayari kuwekeza pengine wasibakiwe hata na shilingi mikononi mwao.

Hizi ndio tabia kuu tatu ambazo mwanadamu amezaliwa nazo,tabia hizi zinaweza kubadilika kulingana na mazingira uliyonayo ingawa haziwezi kufutika kabisa.

Mara nyingi tabia hizi hubadilika na kukomaa pale unapoambatana na mwenye tabia kama yako,hushindwa kukomaa na hubadilika kutoka kwenye tabia nyingine pale unapoambatana na mtu mwenye tabia isiyofanana na tabia yako.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]mzee mzoefu nakuonaaa hahahahha upo vizuri
 
Uandishi ni moja ya kazi ambayo inahusu kukusanya habari na kuzichambua kwa kina kwa dhumuni la kutaarifu umma,lakini kwenye makala haya namwelezea mwandishi wa filamu ambaye anaandika filamu ya muongozo wa maisha yake ambaye ni wewe,ndio wewe ni mwandishi mzuri au mbaya wa filamu ya maisha yako.
 
Mwandishi mjuzi wa filamu huandaa mwongozo mzuri kuanzia mwanzoni na mwisho wa filamu yake,hupangilia wahusika katika vipengele mbalimbali vya filamu husika.Mwandishi huandaa muongozo wa filamu ambayo huanza kumpa picha halisi kabla ya kuanza kuicheza filamu hiyo.

Katika kuandika filamu ya maisha yako,wewe kama mwandishi ni lazima uwe na washiriki wakubwa watatu ambao ndio hukamilisha sinema ya maisha yako.
 
1)MTAZAMAJI

Huyu ni mtu ambaye anatizama jinsi ambavyo sinema ya maisha ya wengine inavyoendelea, huyu hukubali na kupongeza baadhi ya vipande vya maisha ya wengine na kuviponda au kuvikosoa baadhi ya vipande hivyo.Aina hii ya watu ni watu wa kwenye vijiwe vya kahawa,bao au kamali huwa ni watu wa kutoa maoni juu ya maisha ya watu,hawa ni watu walio duni katika maisha yao,watu wasio kuwa na ndoto katika maisha yao.

Ni watu ambao hawajuo kupambanua nyakati hukosoa juhudi za watu wengine.

Mfano "Fulani kanunua gari amehongwa na mtu fulani:" autasikia

"Huyu ana nyumba nzuri ameibia kampuni fulani"
Epuka vikao vya watazamaji hawa ambao wanatazama filamu za wengine zikiendelea mbele.
 
MWIGIZAJI

Mwigizaji ni mhusika mkuu katika filamu ya maisha na anajua kuwa yeye ni mhusika mkuu na anaweza kuongoza sehemu kubwa ya filamu ya maisha yake.Anaweza kujenga au kubomoa filamu ya maisha yake kwa jinsi ambayo anaweza kuuvaa uhusika katika maisha na jinsi ambavyo anaweza kuusaliti uhusika wake.

Mwigizaji huwa na furaha katika maisha yake kwa sababu anajua kuwa yeye ni mshindi na ufurahia maisha ya aina yoyote ile pia hufahamu kabisa kuwa filamu ya maisha yake inaweza kuisha kwa namnna yeyote ile na yuko tayari kwa lolote.
 
MWANDISHIA MWIGIZA

Huyu ni mtu yule ambaye haangalii tu na haigizi tu lakini ni yule ambaye anatengeneza sinema kutoka kichwani kwake.anajua nini ataongea,atafanya kipi na mwisho wa sinema utakuaje .

Mtu huyu ana uwezo mkubwa wa kuendesha maisha yake na anajua kabisa maisha yake yatakuwa mazuri au mabaya.

Mtu huyu huwa makini sana katika kujenga maisha yake.Watu wengi waliofanikiwa wapo katika kundi hili,ni waandishi,waigizaji na waongozaji katika sinema za maisha yao.

Swali la kujiuliza

Je wewe ni mtizamaji?

Je wewe ni mwigizaji ambae unaigza kwenye filamu usiyoijua mwisho wake?

Au wewe ni mwandishi na mwongozaji wa filamu ya maisha yako?

Maisha yako, yako mikononi mwako ni wajibu wako sasa kutengeneza au kubomoa,kuwa mwandishi,mwigizaji au mtazamaji.
 
Kweli kabisa na wanaume wengi wangekuwa wanakwenda kuwaona wake zao wakijifungua wangewaheshimu sana
Mkuu, ukisha ingia kule unajikuta umefunga uzazi automatikale...

Nilishiriki kwa mtoto wa mwisho,aisee!!! Nurse akawa anamuasha wife akafue nguo zilizo tumika, nikamuambia nurse mwache apumzike amemaliza kazi yake nitafua mwenyewe, damu zilikuwa nyingi hadi nikahisi mke wangu anaweza kufa maana hata nguvu alikosa. Nikaanza kulia huko huko bafuni na kujiapiza "akipona hazai tena"... Ugumu ukaja wa kumkanda tumbo.. Jamaniii

Kuna muda nakumbukaga lile tukio, naishia kumuonea huruma rafiki yangu kwa maumivu aliyo yapata siku ile.

SIWEZI (anisamehe tu kwa kupenda kuwaangalia wadada wa misambwanda) KUMDHARAU MKE WANGU
 
Hapo umeshuhudia robo tu ila sasa jinsi wanawake tusivyopendana mambo ni tofauti mahospitalin. Kuna wadada na wamama wakipelekwa hapo kwa uchungu kidogo yaan ule wa kushtua tu sio wa kujifungua ndugu nyumban hasa mama wakwe na mume wanajua mambo tayari heheheee ole sasa warud hosp asubuh au muda wa kuona wagonjwa wamkute mjamzito hajajifungua atasimangwa masimango yoooteee atatukanwa anamaliza chakula na mengineyo,wengi huwa wanaomba madokta wawape dawa za kulazimisha uchungu wajifungue yaishe

Kumpata mwenza sahihi mwenye kuelewa hisia za mwenzie kazi kweli
 

Augustin-Louis Cauchy pioneered the study of analysis, both real and complex, and the theory of permutation groups. He also researched in convergence and divergence of infinite series, differential equations, determinants, probability and mathematical physics.
 
Yaani na hivi haonekani nahisi kama alikwazika isijekuwa utani ulipitiliza
Sijui kwann huwa sijali vitu kama hivi daah i wish niwe na hisia kama zako,ujue zile ligi naziendeshaga kiushabiki zaidi kuliko kihisia yaan kwangu ni kama naangalia epl,dakika 90 zikiisha naendelea na mambo mengine kama hakuna kilichotokea.
 
Aisee! Poleni sana...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ile shughuli kule hatarp shemeji.
Ni Mungu tu ndo anawalinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…