Ni tumaini langu kuwa haujambo rafiki yangu mpendwa na msomaji wa blog hii
Kumbe una copy na Ku paste mkuu mi nilidhani upo nondo vibaya mnoo
Sent using Jamii Forums mobile app
Afadhari, teh!Yaani hadi nimeanza kujisikia vibaya [emoji17][emoji17]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], usipende kumkatisha usingizi mwenzio.Hizo ni dalili za uchoyo.
Kutokuvaa chupi kuna raha sana. Mmelala, unakosa usingizi, unawasha simu ili angalau uzuge zuge na magazeti ya Numby, unakuta anaongelea mpira,unazima data, kabla ya kuizima simu unageuka ili umwangalie mwenzio kama amelala vizuri..... Woooooiii!!! Macho na konokono vinagongana...
[emoji12] [emoji12] [emoji12] Kifuatacho (ngamia ni kuingiza kichwa chake kisimani bila kujali kina maji au la..) anakijua aliye lala mapema.
WANANDOA KULALA NA NGUO NI ROHO MBAYA NA UCHOYO.
R.I.PTANZIA : Mama mzazi wa Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi maarufu Sugu, amefariki dunia leo Jumapili Agosti 26, katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, alikokuwa akipatiwa matibabu .Mungu ailaze roho ya Marehemu mama Sugu Mahala pema peponi, wote tuseme #AMEN
Nadhani suala la mimba/ kujifungua linatakiwa lihusishwe na mme tu. Ndugu waje nyumbani akiwa amejifungua,wamuone na kuondoka siku hiyo hiyo. Siipendi ile tabia ndugu wa mme wanaenda kumuona mama mtoto kwa lengo la kumchunguza mtoto.Hapo umeshuhudia robo tu ila sasa jinsi wanawake tusivyopendana mambo ni tofauti mahospitalin. Kuna wadada na wamama wakipelekwa hapo kwa uchungu kidogo yaan ule wa kushtua tu sio wa kujifungua ndugu nyumban hasa mama wakwe na mume wanajua mambo tayari heheheee ole sasa warud hosp asubuh au muda wa kuona wagonjwa wamkute mjamzito hajajifungua atasimangwa masimango yoooteee atatukanwa anamaliza chakula na mengineyo,wengi huwa wanaomba madokta wawape dawa za kulazimisha uchungu wajifungue yaishe
Kumpata mwenza sahihi mwenye kuelewa hisia za mwenzie kazi kweli
Wengi wakifika wanauliza mtoto gani,wakikuta jinsia wasiyoipenda wanaanza maneno maneno. Bahati mbaya jamii zetu wababa wengi wanawategemea ndugu zao zaid kwenye masuala ya uzazi,unakuta mke analazimishwa akajifungue na kuuguzwa upande wa mumeNadhani suala la mimba/ kujifungua linatakiwa lihusishwe na mme tu. Ndugu waje nyumbani akiwa amejifungua,wamuone na kuondoka siku hiyo hiyo. Siipendi ile tabia ndugu wa mme wanaenda kumuona mama mtoto kwa lengo la kumchunguza mtoto.
Utasikia "he he heee kaka!! Umemharibu mtoto toka vidole hadi nywele! Tena mtoto wa kike. Wifi huna chako" wakati mimi namfikiria mke wangu afya yake, hawa wengine shwaainii zao wanatafuta sababu ya kunitenganisha na mke wangu...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]" lala vizuri nikurenge" haya maneno ni wewe huwa unapenda kuyakazia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], usipende kumkatisha usingizi mwenzio.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ujinga tu unatutawala.Wengi wakifika wanauliza mtoto gani,wakikuta jinsia wasiyoipenda wanaanza maneno maneno. Bahati mbaya jamii zetu wababa wengi wanawategemea ndugu zao zaid kwenye masuala ya uzazi,unakuta mke analazimishwa akajifungue na kuuguzwa upande wa mume
Naapa. Haitakuchukua hata dakika 20. Kaone [emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]Kuanzia leo naacha kabisa hasa kuwatania wasukuma
Yaa pale ndo nimeharibu sababu ya kustaafu,nipo nakula penshen ankoooUjinga tu unatutawala.
Halafu ankoo... Ile ligi sio ya nchi hii, ni kweli umestaafu ligi?
Ukinianzishia ligi je? Mtu mwenyewe kumbe hata hisia huna. Ni kutoka nduki tu hakuna namna hata mwezi kimyaaa mpaka kupoe ohoo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mbio za nn sasa bagesh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenichekeshaaaaUkinianzishia ligi je? Mtu mwenyewe kumbe hata hisia huna. Ni kutoka nduki tu hakuna namna hata mwezi kimyaaa mpaka kupoe ohoo [emoji16][emoji16][emoji16]
Hapana. Huu ni msemo wa Kazaramo...Tena kalikuwa kanamsema jamaa kwenye post moja hivi ya udomozege uliopindukia kimo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]" lala vizuri nikurenge" haya maneno ni wewe huwa unapenda kuyakazia