Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hujui ni mara ngapi nimeshaweka azimio la kuachana kabisa na JF lakini naishia kupitisha siku moja mbili narudi. Ni addiction ambayo itabidi kupambana hasa ili kuishindaJf ina raha yake jamani[emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23]