Mmmmhhh lugha yako Newcastle 1 vs chelsea 2katiwa ngapi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] bana banaNdio nilikuja kukuchukua...
Ukaanza kuwaza ujinga [emoji23][emoji23][emoji23]
Sikutaki kwangu mimi .Mie sipatikani kabisaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] bana bana
Afu pia nikutaka hivyo unavyowaza sitokufata hapa jukwaani wala.Mie sipatikani kabisaaa
[emoji125] [emoji125]mie niliwaza unataka ligi (za celebrity),if u know u know sijui wewe uliwaza nimewaza nini[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Afu pia nikutaka hivyo unavyowaza sitokufata hapa jukwaani wala.
Ziko sehemu nikija huwezi kusema No.
Sikutaki kwangu mimi .
Njoo kule kwenye uzi..
Dooh![emoji125] [emoji125]mie niliwaza unataka ligi (za celebrity),if u know u know sijui wewe uliwaza nimewaza nini[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ngoja nikajihami hizo sehemu[emoji125] [emoji125]
Sawa Numbisa..🖒Duh leo umeniamlia hahahah,tulia nafatilia gemu ya madrid,nipo standby kutupia GIF kule
Aaah aaah hio ndoa ya mkeka unayotaka kunifungisha sio kabisa,sina jamaa JF bana. Yule dogo tu.Dooh!
Wanawake bhana! Sasa mimi si ninamjua yule jamaa yako.
Naheshimu hilo.
I can not cross the lines.
Poa boss.Sawa Numbisa..🖒
Sio wa jf..Aaah aaah hio ndoa ya mkeka unayotaka kunifungisha sio kabisa,sina jamaa JF bana. Yule dogo tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]acha hizo mpaka nimepaliwa eti real one ,hamna hamna nakataa me anonymous sugu bado sijagundulikaSio wa jf..
The real one...jf hakuna ndoa..! Kuna crashes tuu.