Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hivi ni kweli sisi ni washamba?
Ninacho jua mimi tukiwa kwenye usafiri wa umma ndio taabu ina kuwepo, ni kutwanga kilugha tu hata kama tumetenganishwa na siti kumi kati kati... Tuna jiachia hivyo hivyo hadi koo likauke. Mengine sijui kwa kweli

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kwakweli muwe mnapunguza kelele kwenye usafiri wa umma
 
Back
Top Bottom