Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kama aliandika sawa. Kama hakuandika watamwamria. Ukishakufa umekufa !!!Dr.Mccain did not want Trump to attend his funeral
Kama aliandika sawa. Kama hakuandika watamwamria. Ukishakufa umekufa !!!Dr.Mccain did not want Trump to attend his funeral
Ninja gani wa hivi? Mbwembwe tu !!!
[emoji23] huyu faza alivoingia tu wizarani alikuja na mikakati mikubwa mno mpaka nikamkubali ila sasaivi naona hakuna kituNinja gani wa hivi? Mbwembwe tu !!!
Trump Not Expected at Sen. McCain Funeral, But Obama and Bush Have Been Asked to Speak😕Kama aliandika sawa. Kama hakuandika watamwamria. Ukishakufa umekufa !!!
Ni mapema sana kumhukumu. Mpe muda. Ila jua tu kuwa mwanasiasa ni mwanasiasa. Mawaziri ingekuwa siyo lazima wawe wanasiasa ingesaidia sana !!![emoji23] huyu faza alivoingia tu wizarani alikuja na mikakati mikubwa mno mpaka nikamkubali ila sasaivi naona hakuna kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ana kale kabinti kake kaMeghan McCain kako macho sana. Kasingekubali.Trump Not Expected at Sen. McCain Funeral, But Obama and Bush Have Been Asked to Speak😕
Shemejiiii. Hatimaye unahitimu?
Sema shemeji yangu