Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Never be upset with haters: they are confused admirers who want to be you.
Have a great day[emoji4]
Have a great day[emoji4]
Kwema brother,, habari ya uzima? hope uko fine na unaendelea na mapambano ya kila siku[emoji120] [emoji120]Nice one. Bro Kwema?
Numbisa anajua...Jamaa gani tena bro. Hebu nami ninong'oneze please...
Karibu anytime shemejiShemejiiii. Hatimaye unahitimu?
Ninakupa offer. Ukinifundisha ufugaji bora wa kuku nitawakonvisi wanaukoo wakusamehe mahari. Nije Tanga lini?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sawa tuPole kama umepaliwa na kunywaji...
Kama ni chakula sikupi pole..! Chakula sio kizuri nyakati za usiku wa kati.
Jifunze kula mapema. ! Just incase.
Acha hizoooNo one is anonymous social medias, once you are connected to internet...you aren't safe anymore..
Just be humble and take a calmed life on internet...
Niache nini sasa..
Hujambo kwanza?
Marahaba..Za kusema hamna anonymous mtandaon
Sijambo,za wewe?
Hawapo anonymous, anytime wakitaka kukunyakua wanakunyakua tuu..Za kusema hamna anonymous mtandaon
Sijambo,za wewe?