myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwanza nieleweshe hiyo dompo ina maana gani kabla sijaiitikia hiyo salamu!
Msuli muhimu zimabakia sikubchache tu nifanye mtihani.
Bora umalize shule urudi mtaani kijana[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hatuna budi kumshukuru Mungu kwa pumzi ya Uhai. Neema hii ya kuiona siku na wiki mpya ni ya kipekee sana, tuitumie vyema kuwabariki na kufanyika kheri kwa wengine...