Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Timu ya Chelsea ilifanikiwa kuvunja mwiko wa kutoifunga Newcastle United katika mechi za Jumapili kwenye Uwanja la St James' Park, jijini London.
Mabao ya dakika za lala salama kutoka kwa Eden Hazard kwa penalti dakika ya 76 na lile la kujifunga la DeAndre Yedlin, dakika tatu kabla ya mchezo kumalizika yaliiwezesha Chelsea kuzoa pointi zote tatu.
Newcastle iliyocheza dakika zote za mchezo huo ikijilinda hadi ilipofungwa bao la kwanza, ilijipatia bao la kusawazisha dakika ya 83 likifungwa na Joselu kwa kichwa.