Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1535352461949.jpg
 
Nimepata shida sana humu ndabi mwaka jana nilikuwa darasa laba na mwaka huu pia sijui nimekuwa ripita

[emoji3] [emoji3] [emoji3] kwahiyo mwaka huu umeona bora ufunguke kuwa unamaliza mitihani yako na sasa unarudi mtaani kama mtu mzima[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Hii culture ya usukumani itakua,
Heshima yako mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yawezekana mkuu. Andaeitini wa kishua kutoka Dar unakula ubwabwa kila siku huwezi kuelewa kuwa kuna kipindi ubwabwa ulikuwa hauliwi isipokuwa siku za sikukuu...

Maisha ya mikoani huko hasa vijijini yalikuwa shida mkuu
 
Serikali imesema kuanzia tarehe 01/12/2018 itaongeza mishahara ya watumishi wake wote kwa 40%. Hata hivyo kwa kipindi cha miezi mitatu yaani September, October na November waalimu, na watumishi wa idara za afya watapatiwa posho isiyopungua sh 150,000 kwa kila mwezi ili kupunguza ukali wa maisha wakati wakisubiri neema ya nyongeza ya mishahara.

Mazungumzo yote yameshakamilika na kinachosubiriwa utaratibu wa kuandaa malipo.

Fupisha habari hii kwa maneno yasiyozidi 25

Hiyo ilikuwa assignment katika darasa moja hivi Shule ya msingi
 
😀😀😀
Mwenyewe nmeshindwa kufipisha, wacha tuone atae fupisha habari hii kwa usahihi.
 
Back
Top Bottom