Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Serikali imesema kuanzia tarehe 01/12/2018 itaongeza mishahara ya watumishi wake wote kwa 40%. Hata hivyo kwa kipindi cha miezi mitatu yaani September, October na November waalimu, na watumishi wa idara za afya watapatiwa posho isiyopungua sh 150,000 kwa kila mwezi ili kupunguza ukali wa maisha wakati wakisubiri neema ya nyongeza ya mishahara.

Mazungumzo yote yameshakamilika na kinachosubiriwa utaratibu wa kuandaa malipo.

Fupisha habari hii kwa maneno yasiyozidi 25

Hiyo ilikuwa assignment katika darasa moja hivi Shule ya msingi
Hizo sentensi zako mbili za mwisho kuna uwezekano mkubwa zikawasababishia kiharusi waajiriwa wa serikali.
 
Dlnh86cXoAAtBw9.jpg
 
Yawezekana mkuu. Andaeitini wa kishua kutoka Dar unakula ubwabwa kila siku huwezi kuelewa kuwa kuna kipindi ubwabwa ulikuwa hauliwi isipokuwa siku za sikukuu...

Maisha ya mikoani huko hasa vijijini yalikuwa shida mkuu
Hata mimi nilikua nnakula ubwabwa at most twice a week... Hapo nilisema ni wasukuma ili kuwatania tuu ila ulichosema kina ukweli kwa mikoa mingi.

Niliwahi kusikia ukipata mgeni msukuma ukampa wali basi ataona kama vile chakula bado [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bobi wine anasema Rais Museveni amekwenda kwa siri kumtembelea Gerezani, akagoma kuonana nae, sasa najiuliza huku kwetu, RAIS akikupa tu fursa ya kusema neno kwenye mkutano wake, unamsifia hadi vitu vya uongo, unatamani na kuunga juhudi mkono. Nini tatizo kubwa?
Hakuna tatizo...kwa wanaoelewa siasa na ufungamanifu wake na historia na utamaduni wa watu [emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️
 
Back
Top Bottom