Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hizo sentensi zako mbili za mwisho kuna uwezekano mkubwa zikawasababishia kiharusi waajiriwa wa serikali.
 
Yawezekana mkuu. Andaeitini wa kishua kutoka Dar unakula ubwabwa kila siku huwezi kuelewa kuwa kuna kipindi ubwabwa ulikuwa hauliwi isipokuwa siku za sikukuu...

Maisha ya mikoani huko hasa vijijini yalikuwa shida mkuu
Hata mimi nilikua nnakula ubwabwa at most twice a week... Hapo nilisema ni wasukuma ili kuwatania tuu ila ulichosema kina ukweli kwa mikoa mingi.

Niliwahi kusikia ukipata mgeni msukuma ukampa wali basi ataona kama vile chakula bado [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna tatizo...kwa wanaoelewa siasa na ufungamanifu wake na historia na utamaduni wa watu [emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…