Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Pele-portrait.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Meneja wa Tottenham Mauricio Pochettino aliambia BBC Sport: " Ni ushindi mkubwa sana kwetu na najionea fahari sana kutokana na uchezaji wetu.
"Huwa vigumu sana kuwachapa Manchester United uwanjani Old Trafford. Walikuwa ndio wanaoongoza kwa mchezo kipindi cha kwanza lakini tulitawala baada ya hapo, na hali kwamba hatukufungwa ni bonasi.
"Ni mwanzo tu wa msimu na tunahitajika kuendeleza haya. Tunahitai kuukubali uhalisia lakini tuendelea kujituma na kujiboresha. Wengi wa wachezaji wetu wamefanya mazoezi kwa wiki tatu pekee, lakini tunataka kujenga kitu cha kipekee."
Poleni sana ndio football ilivyo
 
Back
Top Bottom