mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Habari za asbh Numbisa kwa hisani ya Spurs [emoji23] [emoji23] [emoji23]Shukran tushaanza zoea kupigwa pigwa
Tatu mzuka brazuka [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jiraniiiiii
Poleni sana ndio football ilivyoMeneja wa Tottenham Mauricio Pochettino aliambia BBC Sport: " Ni ushindi mkubwa sana kwetu na najionea fahari sana kutokana na uchezaji wetu.
"Huwa vigumu sana kuwachapa Manchester United uwanjani Old Trafford. Walikuwa ndio wanaoongoza kwa mchezo kipindi cha kwanza lakini tulitawala baada ya hapo, na hali kwamba hatukufungwa ni bonasi.
"Ni mwanzo tu wa msimu na tunahitajika kuendeleza haya. Tunahitai kuukubali uhalisia lakini tuendelea kujituma na kujiboresha. Wengi wa wachezaji wetu wamefanya mazoezi kwa wiki tatu pekee, lakini tunataka kujenga kitu cha kipekee."
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Msukuma ni nani?
Msukuma ni mtu anayepika ugali wa watu watatu halafu anaumaliza wote kwa kuonja tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Man u 3 vs 0 spursssss
[emoji12] [emoji12] [emoji12]View attachment 848910
[emoji1][emoji1]
Hapo sawa timu itakuwa nzuriGal you were in France and yet you haven't heard the news. We sign in Zidane.
Huyu kagere naye sifa tuMadie kagere #MK14
lucas moura
Mkuu mambo vipiThis was Man Utd's 50th home defeat in the Premier League...
32% of those have been since Alex Ferguson quit.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]