Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

To all dotazi out there
[emoji257]On the first day of their marriage, wife and husband agreed not to open the door for ANY visitor! That same day, the husband’s parents came to see them, and knocked on the door. Husband and the wife looked at each other... the husband wanted to open the door, but since they had an agreement, he did not, so his parents left. After a while, the same day, the wife’s parents came visiting. Wife and husband looked at each other, and even though they had an agreement, the wife with tears on her eyes whispered:- "I can’t do this to my parents", and she opened the door! Husband did not say anything. Years passed and they had 2 boys. Afterwards, they had a third child which was a girl. The father planned a very big and lavish party for the new born baby girl, and he invited everyone over. Later that night, his wife asked him what was the reason for such a big celebration for this baby, while we did not do so for the brothers! The Husband simply replied:- "because she is the one who will open the door for me!" Daughters are so special... your little girl will hold your hand for only a little while... but will hold your heart for a life time. It's 'DAUGHTER'S WEEK', and if you are a daughter OR have a daughter who makes life worth living, by just being around - and you love her as much as your own breath... if you are proud of your daughter, or being a daughter, send this to other people who have daughters or who are daughters.. as I just did...... Daughters are angels![emoji257]
[emoji738][emoji166][emoji307]Happy daughter's week.[emoji143][emoji130][emoji143][emoji130][emoji143]

If you are proud of your Daughter, send this to people who have daughters..!

[emoji173]Happy[emoji173]
[emoji173]Daughters[emoji173]
[emoji173]Week[emoji173].
 
Baada ya kupokea kichapo cha 3-0 kutoka kwa Tottenham kocha wa Man United Mourinho amesema kuwa anaomba aheshimiwe kwani kufungwa kwao 3 ni sawa na makombe matatu ya Ligi Kuu Uingereza aliyowahi kuchukua na hakuna kocha wa Club ya EPL kwa sasa anayemzidi.
 
Pamoja na kupata kisanga cha kuvamiwa na shabiki aliyetaka kuwadhuru kwenye stage wakati wa show yao, Couple hiyo ya The Carter bado imeendelea kuwa msaada mkubwa kwenye jamii yao baada ya kutoa sehemu ya mapato ya Tour yao ya #Ontherun2 takriban dola million 1.1 (ambayo ni sawa na bilioni mbili na ushee za kitanzania )kusaidia wanafunzi 11 kupata scholarship ya kusoma free katika high schools zote zilizopo U.S. Taarifa hiyo waliitoa jumapili iliyopita kwenye tour yao huko Atlanta, Georgia
 
UGOMVI wa kifamilia kati ya wasanii Birdman na Lil Wayne umemalizika Jumamosi iliyopita kwenye tamasha la Lil Weezyana Fest lililofanyika huko New Orleans, Marekani, ambapo Birdman aliomba msamaha mbele ya maelfu ya mashabiki waliokusanyika katika dimba la Champions Square. Tukio hilo linafuatia watu hao wawili kumaliza bifu lao ambapo Wayne alimfungulia mashitaka Birdman kwa kumdai Dola mil. 51 (Sh. bil. 117) ili ajiondoe katika mkataba wake mwaka 2015. Hilo lilimalizika kwa siri mnamo mwezi Juni mwaka huu.
 
BUKOBA, KAGERA: Mwanafunzi wa darasa la 5 katika Shule ya Msingi Kibeta, Sperius Eradius(13) amefariki dunia akidaiwa kupigwa na mwalimu wake kwa kutuhumiwa kuiba pochi ya mwalimu - Baadhi ya Wanafunzi walioshuhudia tukio hilo lililotokea jana wamesema mwanafunzi huyo alikwenda kumpokea mizigo mwalimu wake aliyefika shuleni hapo kwa usafiri wa bodaboda - Alipoingia ofisini Mwalimu huyo alianza kulalamika kutoiona pochi yake ndipo Sperius alipoitwa na kuhojiwa lakini akakana kuichukua hali iliyosababisha kuanza kupigwa akitakiwa kuirejesha - Aidha, waliongeza kuwa baadaye walitakiwa kuitafuta pochi hiyo hadi chooni, lakini hawakuiona huku mwanafunzi huyo akiendelea kuadhibiwa - Hata hivyo, dereva bodaboda alifika shuleni hapo akimtafuta mwalimu aliyepoteza pochi na kumkabidhi pochi aliyokuwa ameisahau kwenye pikipiki yake - Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufani ya Mkoani humo, Dkt. John Mwombeki, alikiri kupokea mwili wa mtoto huyo majira ya saa mbili asubuhi ukionekana kuwa na majeraha .
 
Bora kumpa jirani kuliko kioze[emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Siyo bora kioze kuliko kumpa jirani...

Kuna wakati bati hata uligongomee namna gani kimbunga kikija kama ni kikali sana basi litaezuliwa tu; na wakati mwingine paa zima litabebwa na kubwagwa kwa jirani [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…