😀😀Watu hawanielewi akina nani? Nani namwelewesha bro? Pochi hata kama ingekuwa na bilionsi of US $ bado hai-justify kupiga mtoto mpaka kumuua. I was just speculating bro ila kama unaijua sababu halisi waeleweshe hao watu unaodai kuwa hawanielewi bado. Jizazi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️
Unazingua bro...[emoji16][emoji16][emoji16]😀😀
Hata kama ningekuwa De Gea, hili shuti ningekwepa tuu. Kimsingi hoja yangu ilizaliwa kwa maelezo yako ya awali. Rejea hoja yako, sikumbuki kama nilikuja na hoja ya ugumu wa maisha.
Yaani kumbe hadi wewe umefunga dirisha,milango hadi ukuta hakuna sehemu ya kuruka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani kumbe hadi wewe umefunga dirisha,milango hadi ukuta hakuna sehemu ya kuruka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja nikaanzishe uzi najua nitakupata tu[emoji125][emoji125][emoji125]
😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 849516
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Embu usianzishe bana, si unajua mimi degedege langu huwa halinichelewishi; Mara tu paaaaa chini! [emoji23][emoji23][emoji23]
Unazingua bro...[emoji16][emoji16][emoji16]
Duh![emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 849516
Unyonge wa nini tena? Mimi siyo mnyonge bro.Hahah
Nini tena bro, wachakujitia unyonge bana.
Hongera...My account has been credited
What message.? sina cha kujibu hapo, you do.Unyonge wa nini tena? Mimi siyo mnyonge bro.
Mtu akikwambia unazingua ina maana ni mnyonge? Jibu meseji yote usiikate nusu nusu bro (kama una hoja lakini?)
Umenikosha balaa hujui tu. Wanyiramba na Wanyaturu nao waje hapa tuhangaike nao (in Issa Matona's voice)...[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 849516