Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ulikuwepo wakati huu wimbo unatamba? Ulitungwa na nani na alikuwa wa bendi gani? Ukijibu bila ya kwenda kugugo nitaacha kukuita andaeitini [emoji16][emoji16][emoji16]

Likely hata hujui kama ni wimbo [emoji16][emoji16][emoji16]
Shuainiii zao google hawana majibu ya fasta[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…