Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mtu mwenyewe uhenga umemuanza anaongeza makalio ya nini?Hizi mambo za kurekebisha maumbile sasa zishakuwa ni too much aiseh[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Leah Cambridge (29) Raia wa Uingereza na Mama wa Watoto Watatu amefariki wakati akifanyiwa upasuaji wa kuongeza ukubwa wa makalio katika Kliniki moja nchini Uturuki, imeelezwa Leah alitoa fedha zenye thamani ya Milioni 8 za Kitanzania ili afanyiwe upasuaji huo.View attachment 850636
...Mnapenda bad boyz ambao kila dakika wamenuna. They appear more in control and project a sense of security...UNAAMBIWA Wataalamu wa mambo wanasema kuwa asilimia kubwa ya Wanawake hawavutiwi na Wanaume ambao wanatabasamu mara kwa mara.
Wajerumani lakini wamegoma kuomba msamaha. Shwaiini zaoUjerumani imeyarudisha nchini Namibia mabaki ya miili ya Watu wengi waliouawa wakati wa mauaji ya kimbari karne moja iliyopita wakati nchi hiyo ilipokuwa ikitawaliwa na Ujerumani, mabaki hayo yalipelekwa nchini Ujerumani kwa ajili ya kufanyiwa utafiti.
Ushindwe na ulegee [emoji16][emoji16][emoji16]UNAAMBIWA Wataalamu wa mambo wanasema kuwa Mwanaume mwenye njaa huvutiwa sana na Wanawake WANENE.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Cc:.........[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Frankly speaking Mbunye [emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️
Basi utakuwa na njaa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Ushindwe na ulegee [emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 850652
Na hapa sina njaa hata kidogo
Waah[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]Frankly speaking Mbunye [emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️
✔✔😂😂😂😂😂😂Ushindwe na ulegee [emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 850652
Na hapa sina njaa hata kidogo
Wenye njaa wanajulikana tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji818][emoji818][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]