Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Nyota huyo kutoka Jamaica, mwenye miaka 31 anayeshikilia medali nane za dhahabu katika mashindano ya Olimpiki, alishindwa kupata timu Italia na Ujerumani alikoenda kufanya majaribio.
Bingwa huyo wa Dunia wa riadha katika mbio za mita 100 na 200 aliyestaafu riadha, alianza kukata tamaa kabla ya Kocha wa Mariners kumuita ili aonyeshe uwezo.
Kocha Mike Mulvey, alisema Bolt ana kipaji na ana kasi lakini anapaswa kuongeza bidii zaidi kwa sababu kucheza soka katika timu za Ligi Kuu ni jambo zito.