Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nyota huyo kutoka Jamaica, mwenye miaka 31 anayeshikilia medali nane za dhahabu katika mashindano ya Olimpiki, alishindwa kupata timu Italia na Ujerumani alikoenda kufanya majaribio.
Bingwa huyo wa Dunia wa riadha katika mbio za mita 100 na 200 aliyestaafu riadha, alianza kukata tamaa kabla ya Kocha wa Mariners kumuita ili aonyeshe uwezo.
Kocha Mike Mulvey, alisema Bolt ana kipaji na ana kasi lakini anapaswa kuongeza bidii zaidi kwa sababu kucheza soka katika timu za Ligi Kuu ni jambo zito.
 
Bolt anahitaji kurekebisha baadhi ya mambo ana spidi nzuri lakini anahitajika kufahamu kuwa soka ni mchezo wa ushirikiano, hivyo anapaswa kukaa na wenzake,” alisema.
Mulvey aliongeza kusema kuwa anaamini Bolt aliyestaafu riadha mwaka jana anahitaji muda usiozidi miezi sita kuwa fiti kucheza soka la ushindani.
 
Brooo [emoji870][emoji870][emoji870][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23]
 
Ligi Kuu ya Australia inatarajiwa kuanza mwishoni mwa Oktoba hivyo Bolt, anao muda wa kujifunza ma kurekebisha dosari ndogondogo alizonazo.
Mchezaji huyo anayetaka kucheza nafasi ya ushambuliaji, alifanya majaribio katika klabu kama Borussia Dortmund ya Ujerumani, Mamelodi ya Afrika Kusini na Stromsgodset ya Norway, lakini alifeli.
 
‪UNAAMBIWA Wataalamu wa mambo wanasema kuwa Mwanaume mwenye njaa huvutiwa sana na Wanawake WANENE.‬


[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Cc:.........[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23]bro huyooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…