Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

images%20(74).jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
*HEPATITIS*

Hepatitis (Homa ya Ini) ni maambukizi ya virusi kwenye Ini(Liver) .
Ini likiambukizwa hatuna matibabu kamili na yakueleweka Tanzania.
Hepatitis (Homa ya Ini) imekuwa tishio kwa miaka hii na hasa kwa vijana.

*JINSI HOMA YA INI INAVYOENEA*

1.Ngono isiyo salama

2.Kuchangia nguo(Jasho na maji maji)

3.Romance(maji maji)

4.Kuchangia vifaa vyenye ncha kali.

*DALILI ZAKE NI ZIPI*?

Dalili zake hutokea wakati wa hatua za mwisho za kuharibika kwa Ini. kwa hiyo hakuna dalili za awali za ugonjwa huu.

01. Macho na mwili kuwa na rangi ya njano.

02.Tumbo kuvimba

03.Kutapika damu

04.Kukosa hamu ya kula kabisa.

05.Tumbo kuvimba(Abdominal distention)

6.Tumbo kuuma linapokugwa hasa sehemu ya ini(Epigastric pain on palpation)

*MATIBU YAKE YAKOJE*

Bado ni changamoto na hasa kwa Tanzania kwani ni wachache sana wanaopenda kupima afya na kujua hali zao za Ini na hivyo kuchukua hatua .
Kwa kuwa dalili hujitokeza dakika za mwisho za kufa kabisa kwa Ini kwa hiyo tiba kamili ni kubadilisha Ini kitu ambacho mazingira yetu ni changamoto sana.

Note:Ini liko moja tu tofauti na figo ambayo yako mawili kwahiyo hata kubadilisha ina mhitaji mtoaji afe ili mgonjwa aishi.

*CHANJO YA HOMA YA INI*

Siyo wote wanaweza kupata ugonjwa huu,ukipata chanjo uko salama kwa asilimia 100%

*NANI YUKO HATARI KUPATA UGONJWA HUU*

01.Wanaofanya ngono uzembe na hali hawana chanjo.

02.Wafanyakazi wa Idara ya afya hasa wauguzi na madaktari wanaogusa wagonjwa mara kwa mara bila kutumia chanjo!

03. Watoto wanaozaliwa na mama mwenye vimelea vya virusi vya homa ya Ini.

*MABARAZA YA DUNIA YANASEMAJE KUHUSU UGONJWA HUU*

01.Kila mjamzito anaye anza kliniki kwa mara ya anatakiwa kwanza lazima apime ugonjwa huu ili kumlinda mtoto anayezaliwa.
Kwa Bahati mbaya wanao pimwa ni wale wenye uwezo na wenye bima za afya ambao hujifungulia kwenye hospitali kubwa na zenye vifaa;
Mfano:- Agakhan, TMJ,KAIRUKI,Hindu mandal,Mbeya rufaa,Bugando,Selian,n.k

Note:Kiwango cha vifo vya vijana wa kiume kwa ugonjwa huu ni kubwa sana ukilinganisha na wanawake.

*UFANANO NA UTOFAUTI WA HOMA YA INI NA UKIMWI*

A.UFANANO

Hepatitis ina fanana na ugonjwa wa ukimwi kwa muktadha huu,

1.Jinsi Ukimwi unavyo enea ni sawa na Hepatitis

2.Hakuna tiba rasmi kwa magonjwa haya yote mawili.

B) UTOFAUTI

1.Homa ya Ini inachanjo,Ukimwi hauna

2.Ukimwi una dawa za kurefusha maisha,Hepatitis haina unapewa dawa za kupunguza maumivu ukisubiri kuondoka!

3.Virusi vya Homa ya Ini hukaa kwenye maji maji ,Mate(Denda) ,Jasho na damu. Wakati virusi vya Ukimwi hukaa kwenye damu tu.

4.Virusi vya homa ya Ini hukaa nje ya mwili(Kwenye nguo,wembe n.k) kwa siku saba,wakati virusi vya ukimwi hukaa dakika 30 tu.

5.Ugonjwa wa Ini ukiona dalili zake baada ya miezi sita mgonjwa hufariki, Wakati ukimwi ukiona dalili na ukiwahi hospitali una ishi miaka zaidi na zaidi.
******************************

Sawa mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MOTO unawaka huko Old Trafford. Kila mtu sasa anazungumza lugha yake. Wachezaji wanasema lao, bosi Ed Woodward anasema lake na Kocha Jose Mourinho, naye anasema lake.

Kocha Mourinho baada ya kikosi chake kupigwa 3-0 na Tottenham Hotspur, ameibuka na kauli ya kuwashangaza wengi, akidai yeye ndiye kocha bora zaidi kwenye Ligi Kuu England kwa sababu ana mataji matatu ya Ligi Kuu England, hakuna mwingine kwenye timu 19 nyingine zilizopo kwenye ligi hiyo mwenye idadi kama hiyo ya mataji.

Hata hivyo, wachezaji wake wameshakuwa na hofu kubwa, wanaamini kama kocha wao amebakiza mechi moja tu kufutwa kazi huko Old Trafford.
 
Mechi ijayo, Manchester United itacheza dhidi ya Burnley tena kwenye uwanja mgumu wa Turf Moor, keshokutwa Jumamosi na hapo ndipo linapokuja hilo la wasiwasi wa wachezaji.

Kwa taarifa za ndani ya Old Trafford zinadai wachezaji wameanza kumzungumzia Zinedine Zidane kwenye mazungumzo yao ya vikundi vikundi kwenye korido za Carrington, wakiamini ndiye kocha atakayekuja kuchukua nafasi ya Mourinho atakapofutwa kazi baada ya mechi ya Burnley.

Hiyo ina maana kwa mujibu wa wachezaji hao, Mourinho amebakiza mechi moja tu kwenye kibarua chake cha huko Old Trafford.
 
Taarifa zinadai kwa baadhi ya wachezaji wanaoona kile kilichotokea wakati wa Louis van Gaal, ndicho kinachotokea kwa sasa kwenye timu hiyo.

Mbaya zaidi ni kauli za wachezaji hao hawaelewi kocha anataka kucheza mfumo gani kutokana na kufanya mabadiliko ya wachezaji sita katika mechi hiyo ya Spurs ya Jumamosi.

Miongoni mwa mabadiliko hayo yaliwahusu wachezaji Chris Smalling, Phil Jones na Ander Herrera na kutumia safu ya mabeki watatu wa kati, jambo lililofanya kuonekana kwa makosa mengi sana katika beki.
 
Kuhusu bosi wa timu hiyo, Ed Woodward ameripotiwa bado anaamini Mourinho anaweza kuituliza timu hiyo, licha ya watu wamekuwa na mawazo tofauti akifungwa tena tu, suala la kuwa na imani linawekwa kando.

Staa wa zamani wa Man United, Willie Morgan amesema anachokiona Mourinho ataondoka mwenyewe kabla ya kufukuzwa kazi.

Morgan alisema Mourinho hatasubiri kufukuzwa, basi atawahi kutangaza anajiuzulu ili asikumbwe na aibu hiyo.
 
Hakuwa akicheza soka zuri alipokuwa Chelsea, lakini walikuwa wakishinda. Lakini, hapa hachezi soka zuri na timu haishindi.

“Nadhani ataondoka tu mwenyewe, hawezi kusubiri kufukuzwa ili atunze heshima yake,” alisema Morgan.
 
USUPASTAA gharama sana, asikwambie mtu. Ukitaka kulifahamu hilo, basi waulize maofisa wa Chama cha Soka cha Misri baada ya kuambiwa na Mohamed Salah wajiuzulu wote, la sivyo basi wahakikishe mchezaji huyo hasumbuliwi anapokwenda kwenye mechi za kimataifa.

Staa huyo wa Liverpool amedai mashabiki wa Misri walikuwa wakimsumbua sana, wakijazana hotelini kwake na kumgongea mlango nyakati za usiku kisha wanataka tu asaini vitabu na jezi zao au kupiga picha na mchezaji huyo jambo ambalo mwenyew amelitafsiri kuwa ni kero kwake.
 
Katika mfululizo wa barua kibao alizotuma kwenye chama hicho cha soka EFA, mwanasheria wa Mo Salah aliweka bayana baadhi ya masharti ambayo yanapaswa kufanywa ili kulinda usalama na hadhi ya mchezaji huyo anapokwenda kwenye majukumu yake ya kuitumikia timu ya taifa.

Katika barua iliyoandikwa Agosti 23 iliyotumwa kwa Rais wa EFA, Hany Abo Rida, mwanasheria huyo, Ramy Abbas Issa amewashutumu maofisa wa soka wa Misri kwa kumchukulia kawaida mchezaji huyo na kuwaruhusu mashabiki wafanye wanavyojisikia mbele yake.
 
Katika kuweka sawa jambo hilo, mwanasheria Issa ameweka bayana masharti sita ambayo yanapaswa kufuatwa wakati mchezaji huyo anapojiunga na timu ya taifa.

Kwanza, EFA ni lazima uzuie watu kuweka kambi nje ya chumba cha hoteli atakachofikia Salah, wasigonge mlango kutaka kupigwa picha na wala wasiende kumzongazonga anapokuwa mazoezini.

Pili, Salah lazima awe na walinzi wawili kila anapokwenda na walinzi hao wawepo nje ya hoteli atakayofikia Salah kumsubiri muda wote.
 
Back
Top Bottom