Katoka kazini, kashuka kwenye basi anakwenda home, ghafla majambazi na mapanga wakamkatakata!Nilifikiri ni natural death. Ina maana prof kauwawa? Ooh jamani...
Sent using Jamii Forums mobile app
Beautiful walahiView of Olduvai Gorge Museum at NgorongoroView attachment 851648
Hahahahahahaha jaman
Kauli ya Rais Magufuli juu ya sakata la Makontena
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewataka viongozi wote nchini kutekeleza majukumu yao kwa kuzingatia sheria sambamba na kuhakikisha wanasimamia ipasavyo matumizi ya rasilimali za umma kwa maslahi ya wananchi.
"Kwa mujibu wa sheria ya Madeni, Dhamana na Misaada Namba 30 ya mwaka 1974 (kama ilivyorekebishwa na sheria namba 9 ya mwaka 2003) kifungu cha 3, 6, 13 na 15, Waziri wa Fedha na Mipango ndiye mwenye mamlaka ya kukopa nje na ndani, kutoa dhamana na kupokea misaada kwa niaba ya Serikali.
Salama mkuu kwema?Salaam Davet