Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"


Mzizi wa fitina umekatwa
 

Bwa mdogo anachosha sasa, nawe hivyo
 
VIFAA MUHIMU VINAVYOHITAJIKA KWA MAYATARISHI NA UPISHI WA KEKI (BAKING ESSENTIALS)
Kwa wale ambao wanataka kuanza mapishi ya keki (Hasa kwa biashara), muhimu uwe na vifaa fulani ambavyo vitarahisisha kazi yako jikoni. Sio lazima kuwa navyo vifaa hivi wala sio lazima uwe navyo vyote lakini ukiwa navyo, keki yako itakuwa muruwa! Vingi utakuwa unavyo jikoni, kwa hivyo tumevigawa kwa makundi ujue ulichonacho na unachohitaji kuongezea au kununua. Kisha ukipenda unaweza kununua vya ziada kila ukiendelea na upishi wa keki.
 
1 .VIFAA VYA KUPIMIA MAHITAJI YAKO:
Upishi wa keki unahitaji mahitaji yapimwe kwa makini na yawe sawa. UPISHI WA KEKI HAUTAKI KUKISIWA kama mapishi mengine! Ukiambiwa weka vijiko viwili vya baking powder, usiweke kimoja kwa kuwa umepungukiwa au ukajiamulia utaweka vitatu ili keki ifure zaidi! Utaharibu upishi. Ukikosea, ukiongeza au kupunguza mahitaji yoyote yale kuliko ulivyohusiwa kwenye recipe ulopewa nasisitiza tena >utaharibu mapishi
Utahitaji vifaa kadhaa vya kupimia mahitaji ya vitu vikavu ( kwa mfano unga) au mahitaji majimaji (Kwa mfano mafuta nk)

Vifaa utakavyohitaji ni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…