carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Makochi ya Walimu we DarView attachment 851825
[emoji23][emoji23][emoji23] na ww utakuwa mkubwa tu na utaamkiwaMfyuuuu
Unapenda kuamkiwa[emoji23][emoji23]
Namshukuru Mungu kwakweli bado ananipa rehma zake.
Sijui huko uliko,kwema?
Huku kwema kabsa bro.Huku kwema bro. Huko vipi?
Tumshukuru Mungu
Acha bhasiRC Makonda ajimilikisha ekari 22.3 mkoani Dodoma, sawa na ukubwa wa viwanja 15 vya Soka - JamiiForums
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Mzee wa malimau is back. Jumapili kutakuwa na ujumbe safi kabisa wa kuwasaidia waumini wake kuuona ufalme wa Mungu.
View attachment 851726
Salama mkuu kwema?
Asante sis. Najua umejitahidi sana kuandika yote haya kwa sababu siyo kawaida yako.
Karma will get them. Hawatabaki salama - wao na vizazi vyao. Kama ni kumpora mbona wasingechukua wanavyotaka na kwenda zao? Au walikuwa wametumwa kummaliza profesa wa watu?
Maprofesa hawa mabingwa tunao wachache sana na kuwasomesha ni kazi kweli kweli. Hata tulionao sidhani hata kama tunawaangalia vizuri na kuwajali. Inahuzunisha sana. Pumzika salama prof. Umetangulia tu na waliokutanguliza nao watakuja huko huko kujibu...