Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], ngoja nimuuzie Harmo rappa hii mistari.

Sent using Jamii Forums mobile app
Utakachopata tugawane please. Nami nitakugawia Muumba alichonijalia nachulale [emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️
 
Hahahaha et yale mambo ya mikono,, hii ni kweli kabsa,, aibu ni changamoto kubwa sana,,, unakuwa kuna kitu unataman na tena huwa unaenjoy sana lkn unashindwa kusema kwa kufikilia mwenza wako atakufikilia tofauti!
Ila hyo ya kupigana makofi hahaha kibongo bongo hii km ikitokea si mambo ya mbunyuko yanaishia hapo hapo hahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…