Wapi ambako hakuna up and downs hapa duniani? Tz - the most beautiful country in the world!Like kama bado unapapenda Tz despite the up and downs.
Poteza hata dakika tatu sikiliza wimbo huukaribu tena
Habari za mchana wakuu, samahani leo nimebarikiwa kuwa na nyimbo za zamani ambazo tulizisikiliza eidha kwa wengine tukichunga ng'ombe na wengine wa mjini zilisikika sana madukani,mfano wimbo huo hapo chini. Au kwenye nyumba ya jirani vipindi vya wakati wa kazi, mchana mwema, alasiri, chaguo la msikilizaji, n.k.
umeshapa maana yake naomba unijulisheNani kausikiliza wimbo mpya wa Saida Karoli - Orugambo.
Nahitaji maana ya hilo neno
Habari za mchana wakuu, samahani leo nimebarikiwa kuwa na nyimbo za zamani ambazo tulizisikiliza eidha kwa wengine tukichunga ng'ombe na wengine wa mjini zilisikika sana madukani,mfano wimbo huo hapo chini. Au kwenye nyumba ya jirani vipindi vya wakati wa kazi, mchana mwema, alasiri, chaguo la msikilizaji, n.k.
Amen!
sawa andjulPoteza hata dakika tatu sikiliza wimbo huu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ahsante mkuu, ila nimeshiriki maandamano ya kumpokea Mtukufu rais wa kwanza wa Tanzania, tukijipanga barabarani na tawi la mti mkononi likipungwa hewani. Mtukufu akiwa ndani ya land rover ya silver huku mkono akitupungia kwa bashasha.Nakusahihisha tu neno "mdogo"[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji1]Shukurani mdogo wangu
shimba ya buyenze mambo
Heshima yako Kaka[emoji23] [emoji23] [emoji23] ahsante mkuu, ila nimeshiriki maandamano ya kumpokea Mtukufu rais wa kwanza wa Tanzania, tukijipanga barabarani na tawi la mti mkononi likipungwa hewani. Mtukufu akiwa ndani ya land rover ya silver huku mkono akitupungia kwa bashasha.Nakusahihisha tu neno "mdogo"[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji1]
Santeekaribu tena