Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahaha!
Mbio za nini?

@Mohabbat par itna yaqeen
 
Siyo Wasukuma pekee. Mwanaume ye yote rijali inabidi kupambana. Hata huyu kwenye picha kama anataka kutesti zali akubali afanyiwe face sitting.

Ila siku ile sitakaa niisahau wallahi. Mapito ya maisha !!!

Ilikuwaje hiyo siku ambayo hutakuja isahau dadangu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 

Naaaam ilikuwaje hiyo mzee baba!!?[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Dadi has already arrived...Si ajabu akapewa ubunge wa kuteuliwa na kupewa uwaziri kabisa !!!

Basi kaazi kama ndo hivyo.
mkuu nipeleke Koromije nikanunue ndumba[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] inadaiwa ndumba za huko si mchezo[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…