moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Umewafungia kazi mwenyewe[emoji3] [emoji3]
Watu wanazikwa na bling bling zao
View attachment 853706
Watu wanazikwa na bling bling zao
View attachment 853706
Dada wako/yako? Au ni taipo?
CarbamazepineKuna dr mmoja aliwahi nambia kama mwanaume kichupa kimejaa(hajakutana muda mrefu na mwanamke)kuna hali inatokea ya kuumwa na kende zinakuwa kama zinavuta(kuna watu huita ngiri),dawa yake ni kumwaga tu.
Nenda hispitali kijana
kwa hisani ya muheshimiwa allison becker.Siku ya leo inaisha hiviView attachment 853750View attachment 853751
kwa hisani ya muheshimiwa allison becker.
next games tottenham hotspurs, southampton, chelsea.
umeniuliza sababu ipi inayonifanya niamini ya kwamba mechi tatu zijazo liverpool watapoteza points 4.
- ukiachana na mechi ya leo ambayo sijabahatika kuiangalia mechi zilizopita zote nimemuona mohammed salah pumzi yake ikiwa imekatika kwa 50% hivyo basi kwa kiasi kikubwa msimu huu munaishi kwa kutegemea pumzi ya sadio mane na robert firmino, ina maana kwa kipindi hiki utatu mtakatifu umepungua nguvu.
- huku upande wa pili utatu mtakatifu wa chelsea umeongezeka nguvu ukilinganisha na msimu uliopita.
- kwa kuwa michuano ya Asian games imemalizika kuna uwezekano mkubwa wiki mbili zijazo so heung min akarudi uwanjani kuitumikia tottenham.
![]()
Nimekupata kamandaYote.sawa tu. Dada wetu, daa wangu, dadaake. Kilikes iko poa tu. Kukosoa rukhsa