kwa hisani ya muheshimiwa allison becker.
next games
tottenham hotspurs, southampton, chelsea.
umeniuliza sababu ipi inayonifanya niamini ya kwamba mechi tatu zijazo liverpool watapoteza points 4.
- ukiachana na mechi ya leo ambayo sijabahatika kuiangalia mechi zilizopita zote nimemuona mohammed salah pumzi yake ikiwa imekatika kwa 50% hivyo basi kwa kiasi kikubwa msimu huu munaishi kwa kutegemea pumzi ya sadio mane na robert firmino, ina maana kwa kipindi hiki utatu mtakatifu umepungua nguvu.
- huku upande wa pili utatu mtakatifu wa chelsea umeongezeka nguvu ukilinganisha na msimu uliopita.
- kwa kuwa michuano ya Asian games imemalizika kuna uwezekano mkubwa wiki mbili zijazo so heung min akarudi uwanjani kuitumikia tottenham.