Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mara mbili ujue now man u 2 kwa nunge
R.I.PAjali Arusha. Watalii watatu wameteketea leo. RIP
View attachment 854634
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]thank potiHongera Binti mpole! [emoji6][emoji6][emoji6]... Na mbaya wako, Tottenham keshapigwa huko! Nakuona leo raha tupu! [emoji1][emoji1]
WOSIA
Ole wake Tanzania
Tusipoisaidia!
Niwezalo nimefanya:
Kushauri na kuonya.
Nimeonya: Tahadhari!
Nimetoa ushauri:
Nimeshatoka kitini;
Zaidi nifanye nini.
Namlilia Jalia
Atumulikie njia;
Tanzania ailinde,
Waovu wasiivunde.
Nasi tumsaidie
Yote tusiyamwachie!
Amina, tena Amina!
Amina tena na tena!
MWISHO
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]thank poti
Badilisha andaa kuku,au kitimoto au nyama choma ya ngombe,tilapia kila siku tunakula keshanikinaiiiNjoo basi hapa Tilapia Hotel, nimekuandalia Tilapia mmoja matata sana! [emoji1][emoji1][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
Badilisha andaa kuku,au kitimoto au nyama choma ya ngombe,tilapia kila siku tunakula keshanikinaiii
Wabheja potii
Umeona ee hahahahah atapatikana tu wa kula,chimbo la wadada wa chuo hilo full kujipitisha pitishaTatizo lako naweza kubadilisha na usitokee vile vile! [emoji1][emoji23]
Umeona ee hahahahah atapatikana tu wa kula,chimbo la wadada wa chuo hilo full kujipitisha pitisha
Huyu ndiye Numbisa ?View attachment 854824
Tunasubiria ugali hapa! [emoji39][emoji39]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]huo ugali mtamu kama mpishi mwenyeweView attachment 854824
Tunasubiria ugali hapa! [emoji39][emoji39]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]huo ugali mtamu kama mpishi mwenyewe