myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Weka posti weka likes
Arsenal leo hawataniangusha !!!Cardiff 1 Arsenal 2 dakika ya 68
Safi
2-2Arsenal leo hawataniangusha !!!
Leo umejitahidi bro. Kungekuwa na kaugali hapo dah !!!
Hahaha! Mwenyewe nimeona show ya Leo heavy nikaikumbuka zile shit za kiepe enzi zile
Walale mahala pema peponiAjali Arusha. Watalii watatu wameteketea leo. RIP
View attachment 854634