Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_4114.JPG
 
Makontena 10 ya Makonda yazua utata mpya mnadani

Wakati Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kupitia kampuni ya udalali ya Yono Auction Mart ikishindwa kuyauza makontena 20 yaliyoagizwa na mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kwa mara ya pili, utata umeugubika mnada huo baada ya makontena 10 kutofunguliwa ili wateja kujua bidhaa zilizomo.
Mwananchi

Changa la macho linaanzia hapo
 
‪Jeshi la Marekani limefuta msaada wa Dola Milioni 300 sawa na zaidi ya Bilioni 685 za Kitanzania kwa nchi ya Pakistan kwa madai ya kwamba nchi hiyo imeshindwa kuyachukulia hatua makundi ya Wanamgambo, Jeshi hilo limesema kuwa litatumia Fedha hizo kwa masuala mengine.

"Usitumie pesa kama fimbo": Cosmas Thobias Chidumule
 
Back
Top Bottom