Kwanza, kulikuwa na kufikia kikomo cha sehemu ya pili ya urais wa Rais Ali Hassan Mwinyi ambaye alipokea uongozi kutoka kwa baba wa Taifa mwaka 1985. Hivyo, tayari kulikuwa na joto la Uchaguzi mwaka mmoja baadaye.
Pili, Uchaguzi huo wa 1995 ulikuwa ni uchaguzi wa kwanza katika taifa lililoungana ambapo vyama vingi vilikuwa vikishiriki. Kwa hiyo, mazingira ya kisiasa yalikuwa yasiyotabirika sana lakini yakiwa na mvuto wa pekee ndani ya CCM. Nje ya CCM vuguvugu lilikuwa halijapamba moto sana hadi pale Mrema alipojiengua na kuleta uhai mpya kabisa katika upinzani. Watanzania walikuwa wanaangalia kwa makini sana kile kilichokuwa kikiendelea ndani ya CCM kwani watu mbalimbali walikuwa wameshaanza kuonesha hamu na kiu ya kushika nafasi hiyo.
Tatu, matukio mawili yenye kuhusiana yalitishia moja kwa moja Muungano wa Tanzania kama ulivyo sasa yaani wenye muundo wa serikali mbili. Suala la Zanzibar kujiunga kwenye Jumuiya ya Nchi za Kiislamu (Organisation of Islamic Countries/Conferences -OIC) mwaka 1992 kulihusiana moja kwa moja na baadhi ya wabunge wa kutoka bara (waliojulikana kama G55) kutaka kudai kurudishwa kwa Serikali ya Tanganyika. Haya mawili (la OIC na hoja ya Tanganyika) bila ya shaka yalikuwa ndiyo sababu kubwa ya Mwalimu kuvunja ukimya na kuandika kijitabu hiki kuelezea kilichotokea miezi michache nyuma yake akijaribu kujenga hoja ya kuokoa mfumo wa muungano ambao yeye aliuasisi
Hahaha! Binti mpole bhanaSijaonaa kucha zetuuu
Leo umejitahidi bro. Kungekuwa na kaugali hapo dah !!!
[emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji106][emoji106]*KILA BINADAMU ANAKUFAA*
"Chumvi haitakufaa kwa chai asubuhi, ila itakufaa kwa mboga mchana"
Kila mtu atakufaa kwa namna tofauti. Hata wale wasio marafiki, kuna kipindi watakufaa.
Kwenye maisha hatuhitaji marafiki tu, tunahitaji Watu wote!
Sio kila mtu atakufaa kwenye biashara au kipindi unatafuta kazi.
Na sio kila mtu atakufaa kipindi unajiandaa na harusi yako au kipindi unatafuta mtu wa kukukopesha.
Pia, sio kila mtu atakufaa kipindi unaumwa au kipindi umefiwa.
Jambo moja tunalokosea ni kudhani kuwa *yupo mtu atakayetufaa kwa kila kitu.* Na kwa namna hiyo, tumepoteza watu wengi ambao wangekua na manufaa kwetu.
*Anaekufaa kwa kila kitu ni Mungu pekee.* Binadamu wote watakufaa tu kwa msimu.
Kinachotakiwa ni kutambua kila mtu anaekuzunguka anakufaa kwa nini, na kumtumia kwa hicho ambacho anakufaa.
*Usivunje urafiki wa miaka mitano sababu tu hakuja kwenye msiba ulipofiwa.*
Ndani ya miaka mitano, hakukufaa kwa jambo jingine lolote lile?
Angalizo!
Mahusiano bora huongozwa na akili, na sio hisia.
Naona bidada kashika nyenzo[emoji23]
Hahaha! Mwenyewe nimeona show ya Leo heavy nikaikumbuka zile shit za kiepe enzi zileLeo umejitahidi bro. Kungekuwa na kaugali hapo dah !!!
Una macho makali [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Naona bidada kashika nyenzo[emoji23]