Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

*KILA BINADAMU ANAKUFAA*

"Chumvi haitakufaa kwa chai asubuhi, ila itakufaa kwa mboga mchana"

Kila mtu atakufaa kwa namna tofauti. Hata wale wasio marafiki, kuna kipindi watakufaa.

Kwenye maisha hatuhitaji marafiki tu, tunahitaji Watu wote!

Sio kila mtu atakufaa kwenye biashara au kipindi unatafuta kazi.

Na sio kila mtu atakufaa kipindi unajiandaa na harusi yako au kipindi unatafuta mtu wa kukukopesha.

Pia, sio kila mtu atakufaa kipindi unaumwa au kipindi umefiwa.

Jambo moja tunalokosea ni kudhani kuwa *yupo mtu atakayetufaa kwa kila kitu.* Na kwa namna hiyo, tumepoteza watu wengi ambao wangekua na manufaa kwetu.

*Anaekufaa kwa kila kitu ni Mungu pekee.* Binadamu wote watakufaa tu kwa msimu.

Kinachotakiwa ni kutambua kila mtu anaekuzunguka anakufaa kwa nini, na kumtumia kwa hicho ambacho anakufaa.

*Usivunje urafiki wa miaka mitano sababu tu hakuja kwenye msiba ulipofiwa.*
Ndani ya miaka mitano, hakukufaa kwa jambo jingine lolote lile?

Angalizo!
Mahusiano bora huongozwa na akili, na sio hisia.
 
ARUSHA:
Ajali mbaya imetokea katika eneo la Mti Mmoja jijini Arusha njia ya kuelekea Makuyuni ikihusisha lori na gari la kubeba watalii na taarifa za awali zinaeleza kuwa watu watano wamefariki dunia wakiwemo watalii.

@Mohabbat par itna yaqeen
 
Olduvai Gorge, Ngorongoro conservation area
FB_IMG_1535642975791.jpg
 
Kutoka kwa Dotto Bulendu

Hapa ndipo "strong media" na "active citizens" wanatakiwa.

Kwanza tuliambiwa,wadau wa maendeleo kutoka nje ya nchi watachangia kutatua kero za elimu Dar es Salaam,makontena ya vifaa vya ofisini na vitabu yatakuja kutoka ughaibuni.

Baadae tukaambiwa si hayo tu bali na mengine yatatoka China kwa ajili ya maziwa ya watoto waliotelekezwa na mengine yataleta vitabu kwa ajili ya maktaba.

Baada ya hapo tukaambiwa Makontena yamefika yapo 36 yanavifaa vya maofinini kwa ajili ya ofisi za walimu kwa Shule za Dar es Salaam.

Baadae tukaambiwa hayatoki mpala yalipiwe kodi kwani yamekuja kwa anuani ya mtu binafsi.

Baade tukaambiwa,kama TRA watataka yalipiwe kodi,wao na waziri wa fedha watashtakiwa kwa Rais.

Baadae tukaambiwa yanapigwa mnada ila yakapungua mpaka 20.

Baadae tukaambiwa atakaeyanunua atalaaniwa.

Baadae tukaambiwa,lazima yalipiwe kodi na aliyeyaleta na kama hatalipa yatapigwa mnada.

Baadae tukasikia waziri akisema,kama sheria ya kodi itapindishwa katika hili atakuwa tayari kumuomba Rais aachie ngazi.

Baadae tukamsikia Rais akisema,makontena hayo kwanza yana masofa na lazima yalipiwe kodi.

Baadae tukaambiwa mnada utapigwa leo jumamosi,

Baadae tunaambiwa mnunuzi kakosekana

Na sasa tunaambiwa kuwa kwanza hayo makontena hayana masofa kama tulivyoambiwa na vitu ni vichache sana eti vikipangwa vizuri yatabaki makontena yasiyozidi nane.

Haya mambo hayaaaaaa
Akili za kuambiwa changanya na za kwako.Ila kaeni mkijua Tanesco wameshindwa kesi ya Standard Chartered na wanatakiwa kulipa mabilioni ya shilingi.

Chaguzi ndogo nazo zinaendelea,na pia jueni kuna kundi kubwa la vijana lililomaliza vyuo vikuu,vyuo na kwenye taasisi za elimu ya juu wanasubiri ajira tangu mwaka 2015.

Wasalaaam.
 
Kiungo wa kati wa Manchester United na Ufaransa Paul Pogba, 25, anasema anataka tena kujaribi kujiunga na Juventus mwezi Januari kutokana na kuendelea kudhoofika kwa uhusiano wake na Mourinho. (Tuttosport, via Manchester Evening News)
 
Aliyekuwa nahodha wa Liverpool Graeme Souness anasema kiungo wa kati Pogba yuko tu kwenye klabu kuweza kudumisha thamania yake hadi United ipate kumuuza. (Sunday Times - subscription required)
 
Aliyekuwa mshambuliaji wa Paris St-Germain Neymar, 26, anawez kuhamia Arsenal au Chelsea ikiwa angeamua kuhamia Ligi ya Premia kwa sababu anapenda London. (Sunday Express)
 
Kiungo wa kati wa Tottenham Mousa Dembele, 31, anawez kuondoka klabu hiyo Januari kijiunga na ligi ya China ya Chinese Super League, klabuaya Sinobo Guoan kwa mkataba wa miaka mitatu wenye thamani ya paunia 192,000 kwa wiki. (Sun on Sunday)
 
Mkufunzi wa Arsenal Unai Emery amekana kwamba amekosana na kiungo wa kati wa Ujerumani Mesut Ozil, lakini anasema kuwa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 29 anahitaji kucheza maeneo tofauti katika klabu hiyo.. (Guardian)
 
Everton imekataa dau la muda wa mwisho la £25m kutoka RB Leipzig kumnunua mshambuliaji Ademola Lookman, 20, huku klabu hiyo ya Bundesliga ikitaka kumnunua raia huyo wa Uingereza kurudi katika uwanja wa Red Bull Arena. (90min)
 
Back
Top Bottom