moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
✔Life is too short to worry about anything. You had better enjoy it because the next day promises nothing.
Happy sunday
[emoji256][emoji256][emoji256][emoji256][emoji256][emoji256][emoji256][emoji256][emoji256][emoji256][emoji256][emoji256][emoji256][emoji256][emoji256][emoji256][emoji256][emoji256][emoji256]
Sitakaa nisahau. Na JF kakapotea kabisa kwa sababu nilikatishia kuwa naweza kukafuatilia humu kijanja...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], ukachomeshwa mahindi.
@Mohabbat par itna yaqeen
Makontena [emoji12]
Ukigugo utapata picha na video za kila aina.
Hii kaliAskofu aliyeongoza ibada ya mazishi ya Aretha Franklin aomba msamaha kwa kumshika kifua msanii Ariana Grande
Askofu huyo aliyeongoza ibada ya mazishi ya gwiji wa muziki nchini Marekani Aretha Franklin ameomba msamaha baada ya kushutumiwa kwa kumgusa kifua mwanamuziki Ariana Grande mbele ya umati mkubwa uliohudhuria mazishi hayo.
Picha zinamuonyesha Askofu Charles H Ellis wa tatu akimshika Ariana juu ya kiuno chake huku vidole vyake vikiwa vimeshikilia upande mmoja wa kifua chake.
''Sio lengo langu kumshika mwanamke matiti'', aliambia shirika la habari la AP.
''Pengine nilivuka mpaka, pengine nilijihisi kuwa karibu naye sana kama rafiki''.
Kuna usalama kweli kwa wengine.....!!!???MAFINGA, IRINGA:
POLISI WADAIWA KUUA MTU WALIPOKUWA WANAJARIBU KUSIMAMISHA GARI.
Wanadaiwa kumpiga risasi na kumuua mtu aliyekuwa kwenye gari baada ya dereva wa gari hilo kukaidi amri ya kusimama.
Walipiga risasi kwenye kioo cha ubavuni.
@Mohabbat par itna yaqeen
Bomu sanaJurgen Klopp amemuonya kipa wa Liverpool Simon Mignolet, 30, kuwa tayari kuchezeshwa baada ya kipa mpya Alisson. Raia huyo wa Ubelgiji sasa atachezeshwa baada ya kipa Alisson. (Mirror)