Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Pamoja na hayo kuna mambo matano ambayo ningependa msomaji ayazingatie anapoingia katika fikra za Nyerere na kufuatana naye katika safari ya kuokoa taifa kutoka kwa wale ambao Mwalimu aliwaona kuwa walikuwa wakitishia uwepo wa nchi ya Tanzania.

Kwanza, Unapokisoma utaona wazi kuwa hakukiandika kwa ajili ya wasomi au kwa mtindo wa hotuba zake nyingi ambazo tunazijua kupitia vyanzo mbalimbali. Anatumia lugha nyepesi ya Kiswahili huku akifafanua maneno ya Kiingereza ambayo amelazimika kuyatumia. Mazungumzo na ushawishi wa hoja zake kwenye kijitabu hiki ulikuwa na lengo kubwa la kuwafunua macho Watanzania wajue nini kilikuwa nyuma ya msukumo wa hoja ya “utanganyika”. Kuna wakati anatumia lugha kali na ya kebehi katika kuweka msisitizo.

Pili, bila ya shaka kabisa kama Nyerere asingeandika kijitabu hiki na kuingilia mjadala ambao nusura ulisambaratishe taifa bila ya shaka leo hii tungekuwa na serikali tatu na kungekuwa na uwezekano wa hata kuwa Muungano wenyewe ungekuwa umevunjika. Hakukuwa na kiongozi wa kisiasa ambaye aliweza kuutetea Muungano ulivyo sasa wakati ule isipokuwa Nyerere mwenyewe. Kama utakavyoona wale waliotarajiwa kuitetea Katiba na Muungano ndio walikuwa wa kwanza kuugeuka na kuwa tayari kuiua nchi ya Tanzania. Hata leo Muungano haujapata watetezi walio majasiri na wasiojiuma maneno kama Nyerere.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], naona ulitokelezea ki hipapu zaidi.

@Mohabbat par itna yaqeen
Mara moja moja nikiamuaga hasa kama niko maeneo ambayo sijulikani.

Kaliposhindwa kutokea nilikwenda pale Mwanza hoteli kubung'aa bung'aa mabinti fulani hivi wa kishua maajenti wa tiketi za ndege wakawa wanajigonga "oooh braza umependeza mno. Mambo?". Kumbe mi moyoni mi hasira kibao ya kupotezewa na haka nilikokuwa nadhani ni kabageshi. Ningekuwa najua kuwa ni kaisiki wala nisingehangaika wallahi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️
 
Askofu aliyeongoza ibada ya mazishi ya Aretha Franklin aomba msamaha kwa kumshika kifua msanii Ariana Grande



Askofu huyo aliyeongoza ibada ya mazishi ya gwiji wa muziki nchini Marekani Aretha Franklin ameomba msamaha baada ya kushutumiwa kwa kumgusa kifua mwanamuziki Ariana Grande mbele ya umati mkubwa uliohudhuria mazishi hayo.

Picha zinamuonyesha Askofu Charles H Ellis wa tatu akimshika Ariana juu ya kiuno chake huku vidole vyake vikiwa vimeshikilia upande mmoja wa kifua chake.

''Sio lengo langu kumshika mwanamke matiti'', aliambia shirika la habari la AP.

''Pengine nilivuka mpaka, pengine nilijihisi kuwa karibu naye sana kama rafiki''.
 
Marahaba shem.

Kapicha? Nijiripue laivu kama Godess kipindi kile? Thubutuuu !!!

Hata kama ni ya jana ni lazima ijibiwe. Yote kwa yote TUMSHUKURU MUNGU [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Amina shem[emoji120][emoji120][emoji120]
Kawe na siku yenye baraka,usisahau kuombea na wenye uhitaji Mungu awafanyie wepesi[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Mara moja moja nikiamuaga hasa kama niko maeneo ambayo sijulikani.

Kaliposhindwa kutokea nilikwenda pale Mwanza hoteli kubung'aa bung'aa mabinti fulani hivi wa kishua maajenti wa tiketi za ndege wakawa wanajigonga "oooh braza umependeza mno. Mambo?". Kumbe mi moyoni mi hasira kibao ya kupotezewa na haka nilikokuwa nadhani ni kabageshi. Ningekuwa najua kuwa ni kaisiki wala nisingehangaika wallahi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]iginoa listi ya leo jumapili hadi jumapili ijayo itapendeza sana


Ha wa yuuu shemejiiiii[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]View attachment 854335

246920428_190803.jpg
 
Nne, msomaji ataweza kuona kuwa Mwalimu hataji sana watu kwa majina yao isipokuwa pale
alipolazimika kufanya hivyo kwa ajili ya kuweka jambo fulani lijulikane (ambalo vinginevyo
lisingejulikana). Badala ya kuwataja wahusika kwa majina yao anatumia zaidi vyeo vyao na hivyo
mara nyingi utaona anasema “Rais, Rais wa Zanzibar, Waziri Mkuu, Katibu Mkuu, n.k”. Ni muhimu
kuelewa sababu ya hili. Nyerere hakuwa na ugomvi wa binafsi na Rais Ali Hassan Mwinyi, Waziri
Mkuu John Malecela au Katibu Mkuu wa CCM hayati Horace Kolimba katika sakata hilo la OIC na
Tanganyika. Kinyume na madai ya watu mbalimbali (hasa baadaye), tatizo la Nyerere na hawa wote lilikuwa kwenye suala la uongozi na jinsi walivyoshughulikia masuala hayo nyeti kiasi cha kuhatarisha uwepo wa Taifa la Tanzania kama tunavyolijua. “Ugomvi” ambao ulikuwepo ni kuwa kwenye masuala hayo mawili viongozi hao walishindwa kulipa taifa uongozi unaotakiwa.
 
Back
Top Bottom