Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

duh ni miaka 27 iliopita, yaani tokea baba na mama yangu hawajakutana kimahusiano.
ndoa za zamani kwa kiasi kikubwa ni mwendo wa kulazimishwa kamuoe binti wa mjomba wako.
no love
shikamoo jogooo
Labda huko kwenu mkuu 91 wengi hawakua wakilazimishwa,walionizungukanwalionizunguka hapa wameoana kwa kupendana wenyewe sio kulazimishwa. Halafu hio ya kuoana mabinamu naisikia sana kwa wahindi kuliko kwa waafrika. Umesoma kwenue hadithi gani nami nikafaidi hio story?
 
Mo Salah atumika
kutishia wapinzani
LIVERPOOL, ENGLAND
KOCHA wa Liverpool, Jurgen Klopp amewachimba mkwara wapinzani wake kwenye Ligi Kuu England akiwaambia kwamba staa wake Mohamed Salah amekuwa mtamu zaidi msimu huu kuliko vile alivyokuwa msimu uliopita, kwa hiyo mjipange.
Staa huyo wa kimataifa wa Misri alifunga mabao 44 katika kwenye kikosi cha Liverpool kwa michuano yote aliyocheza msimu uliopita, huku mabao 32 alifunga katika mechi 38 za Ligi Kuu England.
Kabla ya mechi ya jana Jumamosi kati ya Liverpool na Leicester City, Mo Salah tayari alikuwa amefunga mabao mawili na kocha Klopp anasema kwamba mchezaji wake kwa sasa anajiamini zaidi na amepevuka kufanya kweli ndani ya uwanja.
"Mo ni mtu safi sana. Hafikirii mambo ya msimu uliopita, anafikiria mambo ya mwaka huu. Anachotaka ni kuweka rekodi mpya," alisema Klopp.
"Si mtoto tena, anatambua kwamba mambo hayawezi kuwa kama ulivyotarajia siku zote, hivyo kama ni hivyo, basi ni lazima utapambana kwa nguvu zote kuweka mambo sawa."
Liverpool walicheza mechi yao ya mapema kabisa kwenye ligi jana huko uwanjani King Power.
 
IMG-20180902-WA0002~2.jpg
 
Emery asema kitu
kuhusu Mesut Ozil
LONDON, ENGLAND
UNAI Emery amesema kwamba supastaa Mesut Ozil ni mchezaji muhimu sana kwenye kikosi chake cha Arsenal licha ya kuwapo kwa taarifa kwamba wawili hao wametibuana.
Ozil hakucheza mechi iliyopita ambapo Arsenal iliichapa West Ham United 3-1 kwa madai kwamba Mjerumani huyo alikuwa mgonjwa kabla ya kuibuka kwa taarifa kwamba kuna tatizo na kocha Emery.
Lakini sasa, Emery amesema hana tatizo lolote na Ozil na kusisitiza kiungo huyo mchezeshaji ni muhimu sana kwenye mipango yake katika klabu hiyo ya Emirates.
"Miaka yangu yote kwenye kazi hii nimekuwa nikiviheshimu sana vyombo vya habari, magazeti, redio na televisheni, lakini huko kwenye vyombo vya habari kuna baadhi ya watu hawaripoti mambo ya kweli. Sio kweli mlichokisikia, naambiwa sio kweli," alisema Emery akifichua kwamba hana shida yoyote na supastaa wake, Ozil.
Ozil amedaiwa kwamba ameshapona na kwamba anatarajia kuwamo ndani ya uwanja wakati kikosi cha Arsenal kitakapopepetana na Cardiff City kwenye mchezo wa Ligi Kuu England leo Jumapili.
 
Ronaldo apigwa chini Ureno
LISBON, URENO
SUPASTAA, Cristiano Ronaldo amewekwa kando kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Ureno kilichoitwa kwa ajili ya mechi mbili za kirafiki dhidi ya Croatia na ile ya Uefa dhidi ya Italia mwezi huu.
Ronaldo hatakuwapo uwanjani Septemba 6 kwenye mechi dhidi ya Croatia na mechi dhidi ya Italia kwenye michuano ya UEFA Nations League dhidi ya Italia siku nne baadaye.
Ronaldo, ambaye alijiunga na Juventus akitokea Real Madrid kwenye majira haya ya kiangazi huyo Ulaya, alicheza mechi nane tu kati ya 20 za kirafiki ilizocheza Ureno, lakini kukosa mechi dhidi ya Italia ni pigo kubwa sana.
Staa huyo wa zamani wa Manchester United amechezea timu ya taifa mechi 154 na kufunga mabao 85, ikiwamo manne aliyofunga kwenye fainali za Kombe la Dunia 2018 huko Russia ambapo Ureno ilikomea kwenye hatua ya 16 bora.
Kikosi kamili: makipaBeto (Goztepe), Claudio Ramos (Tondela), Rui Patricio (Wolves)
Mabeki: Joao Cancelo (Juventus), Ruben Dias (Benfica), Raphael Guerreiro (B.Dortmund), Pedro Mendes (Montpellier), Luis Neto (Zenit), Pepe (Besiktas), Mario Rui (Napoli), Cedric Soares (Southampton)
Viungo: William Carvalho (Real Betis), Bruno Fernandes (Sporting Lisbon), Gedson Fernandes (Benfica), Ruben Neves (Wolves), Sergio Oliveira (Porto), Pizzi (Benfica), Renato Sanches (Bayern Munich)
Washambuliaji: Bruma (RB Leipzig), Goncalo Guedes (Valencia), Rony Lopes (Monaco), Gelson Martins (Atletico), Andre Silva (Sevilla), Bernardo Silva (Man City)
 
Hata sijapiga mswaki. Hii siku itaisha salama kweli?

[emoji654]️[emoji654]️[emoji654]️Ila ni kweli. Nilikuwa nimevaa kaptula la jeans jipya na mabuti meusi mapya pamoja na fulana yenye picha ya Malcom X mpya pana pana hivi. Usoni miwani myeusi kidogo hivi, mkononi saa nzuri ya dhahabu (haifanyi kazi), pete mbili kidoleni na cheni ndogo yenye msalaba shingoni.

Nilikuwa nimepanga kukapa sapuraizi ya kufa mtu bahati mbaya/nzuri hakakutokea. Hakafai kabisa [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hii ya jana shem.
Halafu ungesindikiza na kapicha ingependeza kweli[emoji6][emoji6]

Shikamoo shemeji,habari ya kuamka
 
@Numbisa njoo huku[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Shwaiiiniii nyie kabisa. Na fantasy yangu ya kimdabuo bado iko pale pale. Kama niliweza kulivaibretisha lile jimama lililotaka kuniua nyie na ukimbaumbau wenu nitawashindwaje? Maneno meeeeengiii mkiitwa hamji [emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tunajipenda sie(in numbisa's voice)
 
uongozi wetu na hatima ya taifa letu
DIBAJI

Muundo wa kijitabu hiki ulivyokuwa mwanzoni umechanganya lugha ya kimashairi, mtiririko wa hoja, na kile ambacho naweza kusema ni mawazo huru ya Mwalimu juu ya masuala ambayo aliamini kuwa ni muhimu kwa taifa kujua. Kwa kila kipimo kijitabu hiki ni tafakari ya ndani ya Baba wa taifa kuhusu uongozi wetu katika kipindi kile cha historia na kwa namna fulani tunapata nafasi ya kuingia katika kichwa cha Nyerere na kuona mtiririko wa mawazo na hoja zake. Kwa namna ya pekee tunaweza kukiri kuwa Mwalimu Nyerere alikuwa na uwezo mkubwa wa kufanya mambo magumu yaeleweke kwa urahisi na masuala mazito yafahamike hata kwa mtu wa kawaida kabisa. Hivyo kijitabu hiki si kigumu kukielewa na wala si cha kifalsafa sana kama vitabu vyake vingine.

dah wavivu wa kusoma vitabu tunapata tabu sana, ni mwezi wa sita tokea nikipate kitabu hiki lakini cha ajabu ndio kwanza nakisoma tena kiuvivu uvivu.
huwa nashangaa sana ninapomuona mtu anajisifu kasoma vitabu 60 kwa mwaka tena vya kiingereza, huwa najiuliza amewezaje na ina maana hakai na kamusi akatafuta baadhi ya terminology?

kila paragraph nitakayoisoma itanibidi niuweke humu ndani ili wale wavivu wenzangu na wale wanaopenda kusoma maandishi angalau na wao wafute uchafu kwenye bongo zao..
mwisho wa siku sote tutakuwa tumefaidika.
au nakosea?
 
Labda huko kwenu mkuu 91 wengi hawakua wakilazimishwa,walionizungukanwalionizunguka hapa wameoana kwa kupendana wenyewe sio kulazimishwa. Halafu hio ya kuoana mabinamu naisikia sana kwa wahindi kuliko kwa waafrika. Umesoma kwenue hadithi gani nami nikafaidi hio story?
Ulizia kwanza kabila au utaifa wake. Yawezekana ni Mhindi au anatoka kwenye kabila ambalo bado wanafanya hiyo mambo.
 
Hata sijapiga mswaki. Hii siku itaisha salama kweli?

[emoji654]️[emoji654]️[emoji654]️Ila ni kweli. Nilikuwa nimevaa kaptula la jeans jipya na mabuti meusi mapya pamoja na fulana yenye picha ya Malcom X mpya pana pana hivi. Usoni miwani myeusi kidogo hivi, mkononi saa nzuri ya dhahabu (haifanyi kazi), pete mbili kidoleni na cheni ndogo yenye msalaba shingoni.

Nilikuwa nimepanga kukapa sapuraizi ya kufa mtu bahati mbaya/nzuri hakakutokea. Hakafai kabisa [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], naona ulitokelezea ki hipapu zaidi.

@Mohabbat par itna yaqeen
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] bro bana msukuma pyuuuuaaaaa orijino kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hii ya jana shem.
Halafu ungesindikiza na kapicha ingependeza kweli[emoji6][emoji6]

Shikamoo shemeji,habari ya kuamka
@Numbisa njoo huku[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Waone !!!

Punguzeni umbea vinginevyo iginoa listi inawahusu mane lavuzi mi ai tachi niu mane everedei wallahi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]iginoa listi ya leo jumapili hadi jumapili ijayo itapendeza sana

Ha wa yuuu shemejiiiii[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
tapatalk_1534521716313.jpeg
 
Back
Top Bottom