Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Alisema: “Ninaposhinda, siku zote nakuwa wa kwanza kuondoka uwanjani, lakini unapofungwa, inakubidi ubaki uwanjani na kuona nini kinachoendelea, nipo hivyo.”
Mourinho aliweka wazi kabla ya msimu kuanza kwamba Klopp atakuwa kwenye presha kubwa sana kama Liverpool haitabeba ubingwa wowote kwa msimu huu kutokana na uwekezaji uliofanywa kwenye timu pamoja na matumaini ya mashabiki na mabosi wake.
 
Guardiola atia neno
ishu ya Mourinho
MANCHESTER, ENGLAND
PEP Guardiola amwashangaa watu wanaoweka shaka kuhusu kiwango cha kocha wa Manchester United, Jose Mourinho.
Hatima ya Mourinho huko Man United imekuwa kwenye mashaka makubwa baada ya kuanza kwa msimu mpya wa Ligi Kuu England ambapo kikosi hicho cha Old Trafford kimechapwa kwenye mechi mbili kati ya tatu ilizocheza msimu huu, ikiwa ni mwanzo mbaya zaidi wa ligi tangu msimu wa 1992-93.
Katika kujitetea kwake, Mourinho ambaye ni mshindi mara tatu wa taji la Ligi Kuu England amekuwa akipambana na wapinzani wake wanaomkosoa kwamba anafahamu yeye ni kocha bora na itabaki kuwa hivyo, jambo ambalo Guardiola amelisapoti na kuweka upinzani wao kando.
 
Mechi saa ngapi kaisiki?
 
446502953_280679.jpg
 
Ushindi huo wa nne mfululizo unawafanya Liverpool kuwa na rekodi tamu kabisa ya mwanzo wa msimu ikiwa ni mara ya kwanza tangu 1990/91, kipindi hicho Kop walikuwa matata ndani ya uwanja. Lakini, Klopp kwa sasa amewarudisha Liverpool katika zama zake za kutamba.
duh ni miaka 27 iliopita, yaani tokea baba na mama yangu hawajakutana kimahusiano.
ndoa za zamani kwa kiasi kikubwa ni mwendo wa kulazimishwa kamuoe binti wa mjomba wako.
no love
shikamoo jogooo
 
Nimesema mara nyingi sana, usihukumu. Sawa, watu wamekuwa wakitujaji kwa mataji tunayobeba kwa sasa. Ukweli ni kwamba hakuna mashaka juu ya kiwango chake, mimi sijawahi kuwa na mashaka naye huko nyuma na siwezi kuwa na mashaka naye kwa sasa. Lakini si tu katika kubeba mataji," alisema Guardiola.
"Nimesema hivi mara nyingi tu, kwa mfano mimi mwenyewe, nimeshinda mataji kwenye klabu matata kabisa na zenye wachezaji matata, lakini nisingekuwa hivi nilivyosasa kama nisingebeba mataji. Lakini, kuna makocha wengine wazuri pia na hawajawahi kubeba mataji."
Guardiola mara kadhaa amekwaruzana na Mourinho kipindi hicho walipokuwa kwenye La Liga wakati mmoja akiinoa Barcelona na mwingine Real Madrid, ambapo ilikuwa moto mkali walipokutana kwenye El Clasico.
 
JOSE Mourinho bana, huwa haishiwi cha kusema baada ya kutoa kauli ambayo moja kwa moja imeonekana kuwa ni kijembe kwa kocha wa Liverpool, Jurgen Klopp.
Mreno huyo kwa sasa yupo kwenye presha kubwa huko Manchester United baada ya kikosi chake kushindwa kufanya vizuri kikichapwa kwenye mechi mbili kati ya tatu ilizocheza kwenye Ligi Kuu England.
Mourinho aliulizwa kama bado atajihesabia kuwa kocha mkubwa kama atashindwa kubeba ubingwa wa ligi na Man United, alijibu hivi: “Hivi hilo swali mnamuuliza kocha aliyemaliza nafasi ya tatu au ya nne kwenye ligi?”
Hahhahaa
 
Back
Top Bottom