Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
UNAAMBIWA hivi, hii Liverpool ya msimu huu, weka mbali na watoto. Acha kocha Jurgen Klopp atambe baada ya chama lake kuanza kwa spidi kali, wakishusha vichapo tu katika mechi zote nne ilizoshuka uwanjani kwenye Ligi Kuu England msimu huu.
Jana Jumamosi, Liverpool waliendeleza rekodi yao ya mwanzo mzuri kwenye Ligi Kuu England kwa asilimia 100 licha ya kipa wao ghali kabisa, Alisson Becker kutaka kutibua mambo. Ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Leicester City ugenini huko King Power umewafanya wababe hao wanaonolewa na Mjerumani, Klopp kufikisha pointi 12 katika mechi nne walizoshinda na hivyo kuendelea kufurahia tu utamu wa kuwa kileleni kwenye ligi hiyo.